ITV vs StarTv

ITV huwa naangalia zaidi zile movie za Latin America, in general Taarifa yao inaniboa. Na hasa kile kipima Joto chao; .......... kukithiri kwa uchafu Manzese zilaumiwe mamlaka zinazohusika? .........So what!!!!!!!!!! au ndo mradi wa SMS.
 

filling station kuitwa SHELL
 
Daaah DSTV wameniharibu sana. Ila Jumamosi niko na Dotto Bulendu
 
Naipongeza ITV kwa kurusha habari za UKAWA bila aibu wala fitna kulinganisha na wale Jamaa wa tbccm.
 
Binafsi natazama Startv nikimkosa samadu siku imeharibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…