Mimi sitaki hata kusikia neno isidingo. Anyway kuna wanaoipenda, waje watupe uzuri na umuhimu wa hii tamthilia. Napendekeza ITV watumie mda wa kuonesha hiyo tamthilia kupiga angalau taarabu tu, kipindi kitapata wapenzi na watazamaji wengiNina maswali machache nataka niwaulize ITV
1. Isidingo ina manufaa gani kwa watanzania
2. Tamthilia gani haina mwisho?
3. Kuna mtanzania gani ambaye anaangalia tamthilia hiyo.
4. Nyie ITV mmeshafanya uchunguzi gn na kukuta watanzania wanaifuatilia?
5. Tamthilia gani miaka zaidi ya 20 na bado inaendelea nyie wenyewe hamchoki kuionyesha?
Mimi sitaki hata kusikia neno isidingo. Anyway kuna wanaoipenda, waje watupe uzuri na umuhimu wa hii tamthilia. Napendekeza IYV watumie mda wa kuonesha hiyo tamthilia kupiga angalau taarabu tu, kipindi kitapata wapenzi na watazamaji wengi
Sasa kama wewe huifuatilii unadhani na wengine hawaifuatilii!? Unadhani kila mtu ni mpenzi wa tamthilia za kifilipino na Kimexico!?
Mimi naifuatilia na nina wafahamu watu weengi sana wana ifuatilia.
Na unatakiwa uwe na akili njema ndio uta ielewa isidingo na pia kuelewa themes mbali mbali zinazo kuja na kuondoka ila kwa wewe na wenzako wenye akili ndogo ambao mna elewa themes moja au mbili mnatakiwa muangalia za kifilipino na za kibongo.
bora nikaangalia ata x kuliko hiyo isidingo maana ciwasomag yanNina maswali machache nataka niwaulize ITV
1. Isidingo ina manufaa gani kwa watanzania
2. Tamthilia gani haina mwisho?
3. Kuna mtanzania gani ambaye anaangalia tamthilia hiyo.
4. Nyie ITV mmeshafanya uchunguzi gn na kukuta watanzania wanaifuatilia?
5. Tamthilia gani miaka zaidi ya 20 na bado inaendelea nyie wenyewe hamchoki kuionyesha?
filam gan haiishag daileewanazngua hata mzuto unapungua...si bora hata wachukue suger ya kenya na nyngnezo tangu kitambo kile'....
So na wewe mwanzoni ulikua Shoga ndio maana ukawa una ifuatilia!hata kama wew pimbi si bora watafute movie za kibongo zenye maadili aonyeshe kwa manufaa ya taifa unaifatilia wew tu na mashoga wenzako