Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 683 Reaction score 200 Nov 8, 2017 #1 wadau habari,vipi hii app ya ITV tanzania naona siku ya Leo kuanzia asubuhi channel zote mbili zinagoma kufunguka,je! tatizo ninaliona Mimi au kunawengine ambao wameona hii kitu!
wadau habari,vipi hii app ya ITV tanzania naona siku ya Leo kuanzia asubuhi channel zote mbili zinagoma kufunguka,je! tatizo ninaliona Mimi au kunawengine ambao wameona hii kitu!