linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,732
- 4,393
Habari zenu wana JF
Hiki kipindi mbona cha kiboya? Yaani maudhui yake hayaeleweki. Naomba wadau mnifungue
Kinakuwa baada ya habari za jiji letu
Hiki kipindi mbona cha kiboya? Yaani maudhui yake hayaeleweki. Naomba wadau mnifungue
Kinakuwa baada ya habari za jiji letu