Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,895
aiss!kwa hiyo jamaa usha m-categorize kama mwehu!lkn si amesema huo ni mtizamo wake kwani lzm uwe sahihi!!!Mwehu mwingine atapendekeza Fastjet iwe ATC
Sawa kabisa...ITV ndo TV ya Watanzania....Pia Star Tv wapo njema pia..
Sawa kabisa...ITV ndo TV ya Watanzania....Pia Star Tv wapo njema pia..
Sawa kabisa...ITV ndo TV ya Watanzania....Pia Star Tv wapo njema pia..
star mkuu itv ina mambo ya hovyo nitayaweka hapa kesho
kwa kuwa yeye anataka itv iwe ya taifa na wewe unapendekeza na star tv sasa ipi iatakuwa ya taifa? au zote ziwe?
Na radio imaan iwe radio ya taifa badala ya TBC.....