ITV na Wosia wa Baba wa Taifa

Ni wa kawaida ndio maana mauti yamemshinda, ni Yesu tu ndio si wa kawaida aliyeyashinda mauti.

Wewe unafikiria mauti ndio kilele cha uweza wa Mungu? Wako binadamu walipata kufufua wafu katika historia ya ukiristo.Kutokuwa wa kawaida kunakosemwa hapa ni kuwa na fadhila na tunu zinazoishi hata baada ya mhusiks kuanza hatua nyingine ya maisha bila kuhusisha kiwili wili.
 
Anadhani akishkwa atachangiwa,, huwezi kumkashifu kiasi hiki
 
Nawe umekubaliana nayo, pasipo kui challenge.?
 
Mwalimu alikuwa mwanadamu na alipinga sana tabia ya wa kujitukuza au kutukuza mwanadamu mwingi. Mwalimu aliamini katika usawa wa haki kwa kila mtu.

Inawezekana tukaangalia aliyoyafanya wakati wake na katika muktadha wa wakati ule tukamwuona kuwa alikuwa mbaya sana kwa viwango vya sasa. Hata hivyo mengi ya yale aliyosema kama wosia wake kwa watu wa taifa aliloasisi yanaashiria kuwa anakiri kuwa kuna nyakati aliwahi kukosea katika maamuzi na inawezekana aliwaumiza watu.

Wapendwa, Mwalimu, hata hivyo alifanya na kusema mengi ya kutufundisha na kutuadibisha kama watanzania. Alitutaka tuishi kwa umoja na upendo; hakuwagawa watu katika makundi ya kikabila, kiitikadi au kiimani.

Baada ya Mwalimu hajatokea mwingine wa kufanana naye kwa namna yeyote kimaadili. Na kama tutaendelea kupalilia nidhamu ya woga kwa kuwafanya watu wasiwe huru kufunguka tutakuwa tunastawisha hasira ndani ya watanzania na iko siku italipuka.

Mwalimu aenziwe kwa kwa kuhakikisha upendo wa kidugu unadumishwa na huo hauwezi kudumishwa matamko ya vitisho na kejeli kwa demokrasia, bali kwa mifumo imara ya kikatiba itakayohakikisha UHURU na UMOJA wakweli.

Zidumu fikra za MWALIMU!
MUNGU Ibariki Tanzania!
 
WALIKUWA WAMEMLENGA DIKTETA UCHWARA JOHN POMBE MAGUFULI ( mzee wa kufyatua watoto/ baba jesca/ mikurupoko/ katilii/ mkojorea katiba)
Ala!!! na wewe bado ni mtanzania mwenzetu??? hizo a.k.a zimezidi zile za Idi Amin mkuu punguza kidogoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ala!!! na wewe bado ni mtanzania mwenzetu??? hizo a.k.a zimezidi zile za Idi Amin mkuu punguza kidogoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ahahahahha aisee, hivi unazikumbuka "uzianike" hapa, jamaa nilimkubali kwa majina yake.
 
Ahahahahha aisee, hivi unazikumbuka "uzianike" hapa, jamaa nilimkubali kwa majina yake.
His excellency president for life field Marshal Alhaj Dr. Idd Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of all the beasts of the Earth and Fishes of the seas Conqueror of the British Empire in Africa in general and Uganda in particular. Hizi ni baadhi tu Mkuu ila yule mtukufu alikuwa na title/a.k.a za kila namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…