Mie mnafiki Masako aliniacha hoi jana alikuwa akiwakebehi wale waliokuwa wakishangilia ushindi wa jimbo mojamojaa(CDM) halafu yakafuatia matokeo ya nyumbani anakotokea Siyoi akaanza kuyashabikia kwa nguvu zote kwamba nyumbani ni nyummani huhitaji hata sera.Kifupi Masako na wenzio kama wewe mnachekesha.

Hawa Jamaa tangu jana wakati upigaji wa kura unaanza walikuwa wako live na Arumeru Mashariki hatua kwa kwa hatua, ikaendlea hadi kwenye matokeo ya awali, lakini kwenye kutangaza matokeo ya mshindi naona walikuwa na matatizo ya mitambo maana hata hawakujiunga tena, sasa sijui ni hofu ya CCM kuangushwa au coverage ilikuwa ni ya siku moja tu.
Nadhani fujo ziliwazuia itv kuendelea kufuatilia matokeo ila walijitahidi mapema mchana.
Tuwashukuru kwa disappointment au kitu gani. Miaka 5 ijayo kama hiki kituo hakita behave kama chombo huru kinaweza kuzikwa na hapo wataanza kumlilia Mungu wakati wao wenyewe ndo wachawi.Jamani kuweni na shukrani.ITV wamefanya kwa upande wao kuwaita wanafiki tena..