king Chuga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 510
- 52
Tangu jana nashindwa kabisa kupata hizo Channel .Je hili tatizo ni kwangu tu ?
Tatizo sikwako tu....mengine tumuachie Mungu.......Tangu jana nashindwa kabisa kupata hizo Chanel .je hili tatizo ni kwangu tu ??
Tatizo lako tu mkuu. Fanya aotomatic update ya chanel