ITV Mnatutengenezea maigizo ya Lowasa

Mbona unalialiaaaa kwani wewe umejipangaje; na wale wazamini milioni 1.6 nao ni wa kuchonga nini
 
ITV iko poa sana hata habari zake si kama TBC inaonesha uoni fresh kula mchicha kijana au vuwa gwanda LA Ccm mnatapatapa nabado
 
Mtoa mada anashindwa kuelewa kitu kimoja,,,media yoyote inaweza kutoa habar mpya huku ikiweka picha ya tukio lililopita linaloendana na habar husika, inaweza kuwa hawakupata picha za tukio hilo muda muafaka huwa wana refer tu na tukio lililopita sawa na hilo lililoripotiwa sio lazima habar mpya iwe na picha mpya wanaweza ku refer na tukio lililopita, ushaur,,,,fuatilia habar zaid kuliko picha.
 


Turudishiwe ela zetu za escrow zilizopitia stanbic bank
 
mura ukienda kongwa kuna mtu kageuka masai,utadhani analinda geti na fimbo
 
Ukiona haujapta support hata ya gamba mwenzio hata mmoja kwenye uzi wako ujue umeandika pumba kuliko pumba zenyewe
 
Nape kakamatwa na rushwa na Takukuru.


swissme

Kwa Jinsi Nilivyokuwa Nakuchukulia Na Kwa Huu Uwongo Na Uzushi Wako NIMESHAKUTAPIKA! Fuatilia Kwa UMAKINI Taarifa Ya TAKUKURU Ya Jana. Wenyewe WAMEKANUSHA Na Kusema Kuwa Hakuna Kitu Kama Hicho. Mbona Husemi Ya Mwenyekiti Wenu TAIFA Kununua Yale Malori 7 Scraper Halafu Kayatengeneza Kwa Hela Yake Tena Kwa MAFUNDI Uchwara Na Wiki Ijayo Katika Mkutano Mkuu Wenu Ataomba Fedha Ya Kununua Malori Ya Kampeni Zenu Mikoani Kisha Atawaleteeni Hayo Malori ( Mortuary ) Yake CHAKAVU Aliyoyanunua Ili YAWAUWENI Vizuri Na Hizo Hela Atazichikichia Mfukoni. Tunamjua Mwenyekiti Wenu TAIFA Kuliko Hata Mnavyomjua Nyie WANACHAMA Wake. Just Shut Up!
 
Chama twawala mmeanza kulialia..na bado.. hivi magufuli yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…