ITV Mnatutengenezea maigizo ya Lowasa

ITV Mnatutengenezea maigizo ya Lowasa

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
17,080
Reaction score
12,300
Ukitizama kwa umakini taarifa ya ITV wakati Lowasa anachukua form na anaporudisha form wahudhuriaji ni wale wale na aina ya mkao ni uleule na nguo walizovaa ni zilezile wakati ni matukio mawili tofauti yaliyofanyika siku tofauti, hivyo naamini hizi ni picha za kuengeneza.

Ukitizama picha zilizochukuliwa na wapita njia nakurushwa kwenye whatsap na facebook, msafara wa Lowasa ulikuwa na gari tatu tu Nissan patrol moja nyeusi na noah mbili nyeupe huku kundi dogo la waendesha bodaboda na wapiga debe wakilifuata kwa nyuma. Kumbuka siku za nyuma Lowasa alitoa fedha nyingi kwa hawa waendesha bodaboda na walikopeshana pikipiki hivyo kutoa fadhila ya kumpigia mahoni sio jambo geni.

Kama ndo staili hizi za kutengeneza picha sidhani kama zitazaa matunda ya maana, bora mambo yaachwe yafanyike kwa uhalisia wake. Kumbuka kule mwanza aliwafadhili wamachinga 30m wakaanzisha saccos na dio hao hao kila akija mza wanabebana kumpokea ili awaongezee mkwanja zaidi.
 
Nape kakamatwa na rushwa na Takukuru.

swissme
 
Labda ulikuwa unataka tukusaidieje Mkuu...??
 
Jitahidi kula malimao huwa ni tiba mbadala
 
Umekosa la kujadili mkuu. Gamba la CCM litakua kwa Presha. Unataka ITV walipoti kipi ili ujuwe habari ipo sahihi. Unafikiri hii ni TBC?
 
Ukitizama kwa umakini taarifa ya ITV wakati Lowasa anachukua form na anaporudisha form wahudhuriaji ni wale wale na aina ya mkao ni uleule na nguo walizovaa ni zilezile wakati ni matukio mawili tofauti yaliyofanyika siku tofauti, hivyo naamini hizi ni picha za kuengeneza.

Ukitizama picha zilizochukuliwa na wapita njia nakurushwa kwenye whatsap na facebook, msafara wa Lowasa ulikuwa na gari tatu tu Nissan patrol moja nyeusi na noah mbili nyeupe huku kundi dogo la waendesha bodaboda na wapiga debe wakilifuata kwa nyuma. Kumbuka siku za nyuma Lowasa alitoa fedha nyingi kwa hawa waendesha bodaboda na walikopeshana pikipiki hivyo kutoa fadhila ya kumpigia mahoni sio jambo geni.

Kama ndo staili hizi za kutengeneza picha sidhani kama zitazaa matunda ya maana, bora mambo yaachwe yafanyike kwa uhalisia wake. Kumbuka kule mwanza aliwafadhili wamachinga 30m wakaanzisha saccos na dio hao hao kila akija mza wanabebana kumpokea ili awaongezee mkwanja zaidi.

Tupia hizo picha ili sisi tuliotengwa na Tanesco tubaini hilo!
 
Acha kulia lia tukusaidie nini sasa? Kama wewe unazo video na picha aliporudisha fomu ziweke hapa.
 
ujinga wangu ulipoishia ndipo uelewa wako ulipoanzia!
 
Mchochezi na mfitini wewe!Hakim a ten gene as kitu mm nilikuwepo wala Nissan haikuwepo. Ilikua Lexus na land cruiser.
 
Back
Top Bottom