ITV mnaipendelea CHADEMA/UKAWA

ITV mnaipendelea CHADEMA/UKAWA

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,105
Kwa nn mnaipendelea UKAWA kama vile CCM tena chama tawala hakipo? Hamjui tunaweza kuagiza TCRA mkafungiwa maisha?
 
kawaulize na TBC kwanini wanapendelea CCM wakati sio TV ya chama ile
bora hata ITV wanaonyesha habari za CCM ila TBC hawajawahi kunyesha habari yeyote ya UKAWA
 
Acha mikwara ya kitoto,kama kuagiza mngekuwa mshafanya hvyo zaman,mbona TBC inaipendelea CCM na hakuna wa kulalamika
 
itv walihamia Dodoma mkutano wa NEC
Star tv
clouds tv
Azam
na maredio yooote
magazeti yoooote
 
Kwa nn mnaipendelea UKAWA kama vile CCM tena chama tawala hakipo? Hamjui tunaweza kuagiza TCRA mkafungiwa maisha?

Hawapendelei mkuu. Wanalipa kuoneshwa live tu.

Usilalamike tena eeh!!
 
Wanalilia vitalu vya gesi walionyimwa na Prof Muhongo....na pia babu EL aliwataja na kuwashukuru ITV na Azam....sijui nini kimejificha hapo ila kwa ujumla ataachia mazingira magumu sana ya kazi. Na Tido nae analipiza kisasi cha kuondoka tbc anasahau mkono wa dola...
 
Mtu mzima kuropoka hovyo hivi ni aibu
 
Ukawa ni makapi tu hamna jipya

Makapi yako mengi tu kama yalivyoorodheshwa hapa chini:
Nchemba
Wasira
Pinda
Bilal
Mwakyembe
Makongoro
Membe
Mwandosya
Ramadhani
Malecela
Mahiga
Muhongo
Ngeleja
Nyalandu

.......

Tafakari...
 
Makapi yako mengi tu kama yalivyoorodheshwa hapa chini:
Nchemba
Wasira
Pinda
Bilal
Mwakyembe
Makongoro
Membe
Mwandosya
Ramadhani
Malecela
Mahiga
Muhongo
Ngeleja
Nyalandu

.......

Tafakari...

Kwa sababu makapi mengi yamebaki ccm nahitimisha kwa kusema CCM ni Chama Cha Makapi.
 
Kwani itv inamilikiwa na serikali. Toka mpango wenu wa kutulazimisha kujiunga na TBC kuangalia taarifa ya habari. Mnaweweseka.
 
Kwani nao wamekuwa tbc kuipendelea sisiem....? Hawalipwi kweli?
 
Kwa sababu makapi mengi yamebaki ccm nahitimisha kwa kusema CCM ni Chama Cha Makapi.

Mtu akichanganyikiwa anaropoka ropoka tu, hana muda wa kufikiri nini aseme ni nini asiseme.

Kinana kasahau kuwa makapi maana yake ni masazo, mabaki.

Na mashabiki nao bila kutumia muda kufikiri, wanakurupuka kumuunga mkono.

Hakika ccm ni sikio la kufa.

Shame upon them.

Tafakari...
 
Back
Top Bottom