ITV mmekosea kusoma wakuu wa mikoa

Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
2,075
2,316
Taarifa yenu ya habari ya saa mbili kuhusu wakuu wa mikoa ina makosa. Maandishi kwenye tv yalikuwa sahihi, lakini akiyesoma taarifa amekosea. Ombeni radhi.
 
Mi mtangazaji amekosea jina la
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Dk. Hamisi Andrea Kigwangalla. Kalitamka sivyo...hivyo aombe radhi.
 
Duuh.. Hata mke nyumbani akipika mboga ikazid chumvi mtakuja kupost hapa..
 
Taarifa yenu ya habari ya saa mbili kuhusu wakuu wa mikoa ina makosa. Maandishi kwenye tv yalikuwa sahihi, lakini akiyesoma taarifa amekosea. Ombeni radhi.

Duh huu mkwara utafikiri wewe ndiye Asa Mwambene
 
Hukulijua hilo?
sasa nimejua. Niliwachukulia kama mafundi wa barabara, madaraja, nyumba, umeme, computer, ndege. Sikuwahi kufikiri wanaweza kuwa viongozi kwenye nafasi za utawala, ubalozi, ubunge na uwaziri. Nawaonaga ni wanasayansi waliobobea kwenye hisabati na physics.
 
Back
Top Bottom