Itv kwenye dish

Maarko

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
1,197
Reaction score
611
Wadau anayejua tujulishana,toka jana jioni station za ITV,EATV na CAPITAL hazipatikani kwenye dish kuna shida gani? Anayejua asifanye choyo atujulisha tafadhali.
 
mkuu mbona tangu jana na leo asubuhi habari nimetazama kama kawaida???,may be labda kwa vile dish langu ni la ft 8. yawezekana signal yao imeshuka mkuu si unajua chanel zetu za kibongo?
 
Asante kwa taarifa mkuu.Nitajaribu kurekebisha dish.
 
Hilo tatizo hata mimi limenipata. Sijui nifanye nini!
 
Nazipata zote kwa ft8 ila signal wamepunguza hata za msumbiji signal zimepungua.
 
Hata kwangu zimepungua sana, naona wamepunguza signal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…