SILENT ACtOR
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 627
- 181
Azam pia huchambua kwa kina habari za serikali na sio upinzani...japo wanajitahidi kuhabarisha mambo ya upinzani kwa ufupi..wanajitahidi ukilinganisha na wengine kama TBC na star.ITV sio television huru siku hizi kama ilivyokuwa zamani. Nafasi yao sasa imechukuliwa na Azam Tv
Kisimbizi gani ni mujarabu kibongobongo zaidi ya azam?IPP media nzima inabadilika sikuizi.azam TV wako vizuri tatizo huwapati mpaka uwe na kisumbusi chao.
Habari yenyewe za kimataifa hawarushi sijui tatizo nini...wanaishia za Africa Mashariki tuITV wapo kimataifa zaidi.Wamewakaribia CNN.
Nini kinawafanya wasirushe habari za kimataifa na badala yake wanarusha za hapa Africa Mashariki tu??Habari zote zilizo na weredi-ITV.
Habari zote zilizo na maslahi ya nchi-ITV.
Habari zote zilizo na utashi na hamasa ktk nia njema kwa taifa-ITV.
ITV ninyi ni zaidi ya chombo cha habari!Ukiangalia kwa habari zenu za wakati huu hakika ninyi mwastahili tunzo ya kiwango cha juu!
Na Mungu awabariki sana!
Ni viwango vya kimataifa mkuu.Habari zao ni mchanganyikoHabari yenyewe za kimataifa hawarushi sijui tatizo nini...wanaishia za Africa Mashariki tu
Sijapendezwa na huo mtindo wao, hata kama ni super brandNi viwango vya kimataifa mkuu.Habari zao ni mchanganyiko
Umependezwa na TBC mkuu?Sijapendezwa na huo mtindo wao, hata kama ni super brand
HapanaUmependezwa na TBC mkuu?
OkMKUU WAHUSIKA HUMU JF WAMO WATAJIREKEBISHA.
Ila..?Si kweli!