Pia ITV habari zao wanabalanci tofauti na startv wao ni kanda ya ziwa zaidi na tbc ni kuisifia ccm na washirika wake.
Sasa si stesheni ni mali yake. Ulitaka Mbowe ndio awe anahariri?Nasikia Mengi ndo ana hariri hizo habari na ni maagizo toka juu
MKUU WAHUSIKA HUMU JF WAMO WATAJIREKEBISHA.pongezi zao ila mi naona siku hizi wanachungulia matbccm yamesema nini.!
MKUU WAHUSIKA HUMU JF WAMO WATAJIREKEBISHA.