ITV Kipima Joto

ITV Kipima Joto

Mabadiliko ya Viwango vya kujiunga na Vyuo vikuu Nchini, Je yanaeleweka kwa wadau wote?

ITV live Now 21:00
Hii inawahusu continuous pia hasa waliotoka diploma kama uko 2nd au3rd year na matokeo yako ya dipoloma ulpata below 3.5gpa umeenda na maji mwanawane katafute kaz nyingne yakufanya.
 
mmh haiwez kuwa hivyo kwa continuos students kwan jua kuwa sheria hairudi nyuma inaanzia pale kwa wakati huu na kwenda mbele
haiwahusu ambao washatangulia
 
Jamani naomba muelewe hili.
Kiukweli cyo haki kwa wanavyofanyiwa madogo .
Principal DD ni uonevu.
Kumbuka last year principle ilikua EE.
Compare hizi grade utagundua ndalichako kafanya bila kufikiria.
1.GRADE comparison.
2014-2015
A=75-100
B+=61-74
B-=51-60
C=41-50
D=31-40
E=21-30.

2. GRADE 2016
E=40_44
D=45-54
C=55-64
B=65-74
A=75-100
Compare now
D(51) 2016 = B-(2015)
C(63) 2016 =B+(2015)
Jamani na ambao amuwatetei awaa niwalee waliisoma brn sasa wandharau wenzao.
E (41) 2016= C (2015)
 
Tatzo lipo iv wakiwaruhusu wote wenye E mbil muingie chuo bac mjue mtakosa mkopo na baadae mtalaum tena.
Bora waende wachache wenye vigezo wapatiwe mkopo.
Nmewasilisha
 
Tulia ww mm npo muhimbili university.
ila nawatetea madogo.
Na ckila mtu anategemea mkopo.
Okey mbna last year 99% walipata mkopo.
Au ujiongezi kijana na ilikua n brn.
kwann uu mwaka wasiwachukue akati .
D=B- ya 2015
 
Tulia ww mm npo muhimbili university.
ila nawatetea madogo.
Na ckila mtu anategemea mkopo.
Okey mbna last year 99% walipata mkopo.
Au ujiongezi kijana na ilikua n brn.
kwann uu mwaka wasiwachukue akati .
D=B- ya 2015

E=C ya 2015
 
Mabadiliko ya Viwango vya kujiunga na Vyuo vikuu Nchini, Je yanaeleweka kwa wadau wote?

ITV live Now 21:00
kwa haraka inaweza isieleke kwa sababu watu wamezoea utaratibu uliokuwepo awali lakini kiukweli utaratibu uliobadilishwa unafaa zaidi kuliko uliokuwepo
 
Tulia ww mm npo muhimbili university.
ila nawatetea madogo.
Na ckila mtu anategemea mkopo.
Okey mbna last year 99% walipata mkopo.
Au ujiongezi kijana na ilikua n brn.
kwann uu mwaka wasiwachukue akati .
D=B- ya 2015
Kumbe wewe tayar umeshajitengenezea mazingira. Wasubir JPM atoke madarakan labda anaekuja atawaonea huruma
 
Mkuu pengne Jana hukuskikiza kipindi cha kipima joto, Maafsa wa TCU waliulizwa hili swali na ndvyo walivyojibu. Of course hata mei nlishangaa, walisema mabadiliko hayo yanawahusu eote wanaojidahili mwaka huu wa masomo sambamba na continuous students. Kama uliingia chuo ukitokea fm6 lazma uwe na 4.0gpa yamatokeo yako ya fm6 na kwa anyetoka diploma lazma uwe na 3.5gpa yamatokeo yko ya diploma
mmh haiwez kuwa hivyo kwa continuos students kwan jua kuwa sheria hairudi nyuma inaanzia pale kwa wakati huu na kwenda mbele
haiwahusu ambao washatangulia
 
Hii ni double fix kwanza alama za kila gredi zimepanda hasa zile za ufaulu wa chini yaani E (2016 ni sawa na C 2015), pili kufikiriwa kudahiliwani unahitaji DD, CE (za 2016) hivyo utahitaji gredi za juu 2016 ukilinganisha na waliodahiliwa 2015 (D2) alama 31-40. NECTA wamewachapa kwa kukweza alama za ufaulu kwa kila gredi na TCU imewachapa kwa kuongeza gredi za ufaulu. Hivi kofi moja lisingetosha hadi mawili?
 
Vumilien tu ndio hali halis ya nchi yetu.
Labda mwakan wanaweza kurudisha mfumo wa mwanzo
 
Mkuu pengne Jana hukuskikiza kipindi cha kipima joto, Maafsa wa TCU waliulizwa hili swali na ndvyo walivyojibu. Of course hata mei nlishangaa, walisema mabadiliko hayo yanawahusu eote wanaojidahili mwaka huu wa masomo sambamba na continuous students. Kama uliingia chuo ukitokea fm6 lazma uwe na 4.0gpa yamatokeo yako ya fm6 na kwa anyetoka diploma lazma uwe na 3.5gpa yamatokeo yko ya diploma

Hiyo haiwezekaniii na nliangali hiko kipind na sikuona kitu kama hiko
 
Sio wote wan
Tatzo lipo iv wakiwaruhusu wote wenye E mbil muingie chuo bac mjue mtakosa mkopo na baadae mtalaum tena.
Bora waende wachache wenye vigezo wapatiwe mkopo.
Nmewasilisha
ao hitaji mkopo waruhusu tatzo pesa tatzi kwenda chuo
 
Back
Top Bottom