msigazi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 471
- 351
Habari za leo Wana jf
Nilikuwa napendelea kuangalia Taarifa ya Habari kutoka moja ya makampuni ya ipp media
Lakini wanazidi kunichanganya baada ya kuondoa baadhi ya Habari Kama HABARI ZA KIMATAIFA, HABARI ZA MICHEZO HASA SOKA
Badala yake wameongeza matangazo katikati ya HABARI NA KUWEKA MICHEZO YA NETBALL
Huu Ni uonevu kwa wapenzi wa Habari
Kwasababu Jamiiforum husomwa na watu WENGI
Wapatapo ujumbe wajirekebishe .
Nawakilisha.

..