Sidhani kama watakuwa wote, ila kama ni baadhi hili sio jambo la ajabu.., na uzuri wa kuwa freelancer hukatazwi kupeleka habari zako sehemu nyingine, cha maana ni kuangalia kiasi wanacholipwa kwa hizo habari, vilevile maadam hawalazimishwi kwa anayeona huu mpangilio haufai anaweza akaondoka (biashara ya media sio lele mama ushindani ni mkubwa sana)