Itv issue

doreen robert

Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
7
Reaction score
1
Hello jf members! jamani eeh naomba nieleweshwe juu ya hii tetesi ninayosikia bot ITV, nasikia waandishi wake wa habari hawalipwi mshahara wa kila mwezi. waandishi wanalipwa kwa siku tena kama mtu amepata habari na kupeleka; je tetesihizi zina ukweli wowote?
 
wanaujua ukweli watumish wa ITV wenyewe zaidi ya hapo wengine watakuwa wanataka kudanganya tu.
sasa je wako tayari kusema ukweli huo?
 
Bora ukauze mkaa au samaki kuliko hiyo kazi unayotaka kufanya
 
Nenda IPP media ulizia Rignald Mengi, hapo utapata majibu sahihi mengine humu ni umbea tu utapata
 
Acha umbea. waulize clouds FM kama wana mshahara. Hata kama ni hivyo huo ni mpangilo wao wa kazi. we unawaza mshahara tu. Ulizia hapa mjini watu wa viwandani kwa idara za sales kama wanamishahara. ww Umetumwa na Manji.
 
Hivi kuna ubaya gani kw wenye kujua mkamjibu swali lake?
 
Hivi kuna ubaya gani kw wenye kujua mkamjibu swali lake?
Hapa hakuna mwenye jibu kamili,ukweli anaujuwa mwajiriwa wa ITV na mwajiri wake JOYCE MUHAVILE,zingine porojo tu.
 

Mi ndio maana sipendagi videmu vimbumbumbu vya dizain yenu.

Ukiona mtu anaandika jina lake George Steven badala ya George Gumbau (yaani anaacha kutumia jina lake la ukoo anatumia la baba yake, hiyo ni dalili ya umbumbumbu) na ukimfuatilia anakuwa na akili kama zako.

Kama hujasoma nenda shule na kama umesoma nitajie shule uliosomea tetesi ambayo hawakukwambia kuwa katika tasnia ya habari kuna watu wanaitwa Freelance Journalists
 
thanks so so so very much 4 yo nce answers
najua umeshukuru lakini huja lizika na comments zilizotolewa: ila nmi naona uha haki kabisa ya kujibiwa lakini pia una haki ya kupata majibu kwa swali ulilouliza.

Ni kweki tetezi hizo zipo kwamba wafanyakazi/wanahabari wa ITV hawalipwi mshahara bali wanapatiwa pesa kidogo kama posho; hii na mimi ilinishangaza nikabaki na maswali mengi ya kujiuliza, kama vile:- inakuaje akina Maulidi, Gamba, Samu na wengineo wanaendelea kung'ang'ania huko ili hali hakuana wanachokipata kama ujira wa kazi wanazofanya??? jibu la swali hili sijalipata bado nalifanyia kazi.

Na kama ni kweli, basi na wao(wafanyakazi) wamelizika basi hatuwezi kuingilia kati lakini kama hawajalizika kuna haja Mamlaka husika kwa misingi ya kusimamia haki za wafanyakazi na kusimamia Sheria za Kazi Nchini kuingilia kati.

Ref- Order: The Regulation of Wages and Terms of Employment Order 2010.
 
nilishawai kusikia kuwa wafanyakazi wa IPP wengi wao wanalipwa kama vibarua ila sina uhakika.
 

mi nilijua hayo baada ya yule mwandishi wa kike kufa(aliekua anatangaza taarifa ya habari)na kitu kingine ni jinsi wanahabari mahiri wanavyohama na kujiunga na mawingu kwa kuepuka sifa za mijinga kuwa unafanya kazi nzuri ila hina hata mia mfukoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…