ITV inatumia muda mwingi kutangaza matangazo ya kamari

ITV inatumia muda mwingi kutangaza matangazo ya kamari

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,827
Reaction score
14,883
Siku ya leo Jumapili kukosa kifurushi kwenye king'amuzi baada ya kumaliza taifa ya habari ya usiku tu, muda wote matangazo ya kamari yanapishana na kubembelezwa kwa kuoneshwa walioshinda.

Tatizo ni nini?
 
Tufanyaje Sasa!!
Ila wanaboa
 
Siku ya leo jumapili kukosa kifurushi kwenye king'amuzi baada ya kumaliza taifa ya habari ya usiku tu,mda wote matangazo ya kamari yanapishana na kubembelezwa kwa kuoneshwa walioshinda.

Tatizo ni nini?
Nchi ishakuwa ya kishetani hii Kaka yake shetani. Kamari ni ushetani maana ni haramu
 
Uchaguzi mzuri sana.

Hongera endelea hivyo hivyo washirikishe na wazazi wako nao wafurahie uhondo huo.
 
Siku ya leo jumapili kukosa kifurushi kwenye king'amuzi baada ya kumaliza taifa ya habari ya usiku tu,mda wote matangazo ya kamari yanapishana na kubembelezwa kwa kuoneshwa walioshinda.

Tatizo ni nini?
Anzisha TV weka vipindi unavyotaka.
 
Wamenikera na nimebadili chaneli baada ya kuanza kutangaza hicho kipindi cha kamari
 
Kamari ni biashara mbadala wa kilimo, halafu unasikia viongozi wakijitanabaisha kilimo ni UTI wa mgongo are we serious ?
 
Ambaye angeweza kupinga kuhamasisha hayo mambo (promotion) ndio mnufaika mkuu anakula percent za kutosha kutoka kwa kila mshindi... Ingawa anasahau tunatengeneza taifa la watu wenye addiction mbaya sana...

Wanachuma janga ila tutalila wote; wao na sisi
 
Back
Top Bottom