Mkuu nimejaribu 3043 lakini wapi. nafikiri hawa jamaa signals zao ziko low sana. najuta nilizifuta za awali ili ni feed 3643/8545 ndo imekua basi tena!! receiver yangu ni Gulf Star maana hii Strong toleo jipya imechakachuliwa kupita kiasi - mafundi zimejaa kwao zikiwa bado mpya - ni chuma chakavu!!