ITV chezeni fair Game kwa vyama vyote vya siasa!!

ITV chezeni fair Game kwa vyama vyote vya siasa!!

Status
Not open for further replies.
Mkuu hiyo. Hata usiisemee ni TV ambayo. Nimeapa kutoangalia vipindi. Vyake hadi 2015
 
Waambieni hao TBC waache ubaguzi hoja yangu ilikuwa mahsusi kwa hii TV ambayo inaendeswa kwa PAYEE yanguambayonalimwa kila mwezi. HIi is TV ya CCM bali ni ya taifa acheni mambo ya kizee
 
Ukiona hivyo jua news editor stakuwa ameshashikiswa. Na OPD ni lazima wenye kumaliza ndovu zetu wahujumu. Mwiba mkali.
 
Sijui kwa nini hawajiulizi TV ya taifa hata 30 pwecent ya watanzania hawaiangalii mambo mengine yanatia kinyaa mimi ningekuwa mwajiriwa wa TBC ningeenda kulima nyanya. Ni aibu kufanya kazi kwenye kituo. Kama hiki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom