Niambie ni nchi gani haitegemei rasilimali? hivi unajua watu ni rasilimali pia
Wakuu hamujanotice kitu muhimu zaidi ya russia kuanguka kiuchumi? Mafuta duniani uko yamepungua bei lakini kwetu Akhera uku hayapungui inakuwaje?
Wakuu hamujanotice kitu muhimu zaidi ya russia kuanguka kiuchumi? Mafuta duniani uko yamepungua bei lakini kwetu Akhera uku hayapungui inakuwaje?
Russia bei ya mafuta kushuka imemuathiri. Vikwazo navyo kwa mbali vinakita.
Ila sasa hivi kuna wimbi la recession mpya linakuja, kuanzia China huko. Leo nimesikia Australia, nchi ambayo uchumi wake ulikuwa haujaguswa kabisa na matatizo ya uchumi ya dunia, inaanza kuingia katika contraction kutokana na madini yake kukosa soko huko China. Hivyo uchumi wa China kushuka utakuwa na domino effect kubwa mpaka the Aussies will feel it.
Saud wanapata loss lakini ndo ivo,wana wana foreign currency reserve kubwa sana itawachukua hata mwaka kabla hawajaanza kuhisi joto.
wazalishaji marekani nao kule texac wamezima mitambo kwani wao wanatumia technology ya fracking kuchimba mafuta na ni expensive kiasi cha dola 60-80 kuchimba kwa pipa moja hivyo haiwalipi tena.
pia hata canada wako katika hatihati
Oil price drop costing Russia billions
Inflation in 2014 is expected to hit 9.7%, as opposed to an earlier forecast of 7.5%, and around 9% in 2015, the finance ministry said.
Russian officials signaled they might need to tap reserve funds for as much as much as 500 billion rubles ($9.3 billion).
Source:Russia Recession: It's official - Dec. 2, 2014
Yemepungua kidogo. Jana nimepita kituoni mhudumu akaniambia bei tumepunguza diesel haifiki shs 2,000 kwa lita. Petrol nayo imepungua haifiki shs 2,100 kwa lita.
Dunia uwanja wa fujo...
Yani kuna watu ndio wanaoamua nani atoke nani aangamie...
Ndio maana nchi zinazochipukia zimeamua kuwa na umoja wao BRICS...
ili power isiwe centralized na kuwa abused na wachache...
That is very minimal compared to the big shift in the world market. I would expect it to be at least 1800 for diesel and 1900 for gasoline.
Kwakweli tunaihitaji BRICS kuleta amani na mtengamano duniani, lasivyo ipo siku US watasema wanataka mtu yeyote asizalishe mafuta
Ndugu yangu wengine tumesikiliza hata speech yake. Russia ina hali mbaya kwa sasa na Putin ameshawaambia warusi kuwa wajiandae kwa hali ngumu kwa muda mrefu. Ana kichwa ngumu kama mugabe.Mnasahau Russia ana viwanda vingi na technolojia kubwa kubwa..sio kweli kwamba anategemea Natural resources pekee...lakini pia habari hii ni ya kijinga imetungwa na watu wa CNN kwasababu zao wenyewe ni upuuzi tu...
Ha ha ha bei ipungue Bongo...na wao wauza mafuta wetu wana cartel yao...
Watakwambia wanauza stock walonunua kwa bei ya juu...unaweza jiuliza hawa jamaa wamechimba kisima ...stock gani isoisha...
Wizi mtupu; na hiyo sijui Ewura...rushwa tupu...
Aliyekataa kupunguza uzalishaji ni saudi arabia.yeye anataka kuua ndege wawili kwa jiwe moja.kwamaana ya russia na pia kuifanya bei iwe chini sana kiasi cha wachimbaji mafuta wa marekani wasimamishe uchimbaji juu technology wanayotumia marekani ni expensive na haitawalipa kama bei ikishuka below 70 usd kwa pipa.Wakati bei inashuka OPEC walikutana kuijadili hali hii then wakaamua kuendelea kusambaza mafuta sokoni kwa hyo bei na nia kubwa kuwaanusha hao wazalishaji wa marekani.
Na sasa hivi makampuni ya uchimbaji marekani wamefilisika kiasi kwamba inabidi yaungane ili kupunguza gharama
Russian officials signaled they might need to tap reserve funds for as much as much as 500 billion rubles ($9.3 billion).
Source:Russia Recession: It's official - Dec. 2, 2014