Russia ni kama tanzania tu, wanategemea rasilimali!! Tofauti yetu na russia wao wanajua kuzitumia rasilimali zao sisi holaa. Na nchi haiwezi kuwa na uchumi wa uhakika kwa kutegemea rasilimali za MUNGU ina maana bila MUNGU kuweka zile vitu pale Russia ingekuwa kama ukraine tu.
Nilidhani wako industrialized...
half of the government's revenue comes from oil and gas exportsMnasahau Russia ana viwanda vingi na technolojia kubwa kubwa..sio kweli kwamba anategemea Natural resources pekee...lakini pia habari hii ni ya kijinga imetungwa na watu wa CNN kwasababu zao wenyewe ni upuuzi tu...
half of the government's revenue comes from oil and gas exports
Mwanzoni mwa miaka ya 90 wakati wa vita baridi,marekani alikula deal na saud arabia aongeze uzalishaji mafuta na hivyo kuflood the market bei ikaporomoka,kwakua soviet union ilitegemea mafuta kama chanzo kikubwa cha mapato,uchumi wa soviet union ukaanguka na ikashindwa kusustain cost za kuendesha nchi na hatimae ikameguka.Saudia anahusika vipi wakati wanamake loss??
Saud wanapata loss lakini ndo ivo,wana wana foreign currency reserve kubwa sana itawachukua hata mwaka kabla hawajaanza kuhisi joto.Saudia anahusika vipi wakati wanamake loss??
Mwanzoni mwa miaka ya 90 wakati wa vita baridi,marekani alikula deal na saud arabia aongeze uzalishaji mafuta na hivyo kuflood the market bei ikaporomoka,kwakua soviet union ilitegemea mafuta kama chanzo kikubwa cha mapato,uchumi wa soviet union ukaanguka na ikashindwa kusustain cost za kuendesha nchi na hatimae ikameguka.
hiyo ndo siri kwanini marekani ni chanda na pete na saud.
safari hii tena saud alimwambia russia aache kumsaidia assad ili wampindue na kuweka utawala wa vibaraka wao na akamhakikishia russia ataendelea na base yake ya navy pale syria hata kama akiondolewa assad.
putin akagoma.
punde tena russia kakorofishana na marekani juu ya ukraine.
ndo likapikwa zengwe la saud kushusha bei ya mafuta hadi waiporomoshe russia na pia iran
Yep...nafikiri Putin alisahau hii issue,lets see kama biashara yake ya Kalashnikov ak 47 itamuokoa.Mwanzoni mwa miaka ya 90 wakati wa vita baridi,marekani alikula deal na saud arabia aongeze uzalishaji mafuta na hivyo kuflood the market bei ikaporomoka,kwakua soviet union ilitegemea mafuta kama chanzo kikubwa cha mapato,uchumi wa soviet union ukaanguka na ikashindwa kusustain cost za kuendesha nchi na hatimae ikameguka.
hiyo ndo siri kwanini marekani ni chanda na pete na saud.
safari hii tena saud alimwambia russia aache kumsaidia assad ili wampindue na kuweka utawala wa vibaraka wao na akamhakikishia russia ataendelea na base yake ya navy pale syria hata kama akiondolewa assad.
putin akagoma.
punde tena russia kakorofishana na marekani juu ya ukraine.
ndo likapikwa zengwe la saud kushusha bei ya mafuta hadi waiporomoshe russia na pia iran
Venezuela walipoona hali inakua siyo,hawajatumia karibu reserve yao yote ya foreign currency kununua tani kadhaa za dhahabu kama tahadhari mambo yakiwa tight wauze na kupata pesa za kurun serikali,matokeo yake bei ya dhahabu nayo imestuck,haipandi mzigo umewadodea.Ni ngumu kushindana na West,wale Saudis cartel ni America tupu na ndio wanazidisha supply sasa ili kukomoa,na ukichanganya na tech mpya kuchimbua shale gas,Canadian oil,Bakken belt North Dakota ambako wanasema kuna oil kuliko Saudi Arabia na magari mengi siku hizi yanakupa high mileage per gallon almost 40MPG,anyway oil business ni cartel tupu imeshikwa na Americans na ndio wanaamua price ielekee wapi wengine ni theater tuu,Venezuela has largest oil reserve in the world lakini bei anapangiwa na bwana mkubwa Wall street,Putin hana ujanja atauza tuu oil future contract kwa bei ya hasara to survive...Banksters ndio wanatawala dunia sio mwenye resources.
Venezuela walipoona hali inakua siyo,hawajatumia karibu reserve yao yote ya foreign currency kununua tani kadhaa za dhahabu kama tahadhari mambo yakiwa tight wauze na kupata pesa za kurun serikali,matokeo yake bei ya dhahabu nayo imestuck,haipandi mzigo umewadodea.