Question:
On your job is it the man who works the hardest who goes up the ladder or the one who works the smartest making the company money??......case closed.. Manny worked hard no doubt, can't take that away from him tonight but Floyd was smarter! The smarter boxer won the match.
IF the fight was suppose to be a street fight in the streets perhaps Manny would win..BUT to beat a man in the sport of boxing you must BEAT him---doesn't matter if he runs or flys you are in the ring to WIN. Manny didn't do that. Floyd won the Boxing match which is scored by punches landed & percentages---SKILL...lets just be fair & stop using excuses. 48-0 speaks volumes.
Unajiita mwanamasumbwi wakati kazi yako ni kukimbia kimbia tu ulingoni. Tulia rusha ngumi, punch ngumi.. sio kukimbia kimbia. Mwanaume kamili anatulia akipigwa ngumi anavumilia huku anatafuta timing. Akipigwa ya uso yeye anarudisha ya taya. Lakini ndugu yetu Myweather ni kukimbia kimbia tu. Nasikia wataalamu wanasema ukijumlisha umbali aliokimbia na kuruka ruka pale jukwaani ni sawa na kutoka Mwanza Airport hadi Igunga Tabora.. saaa hizi ni ngumi au riadha?
Hii ni professional business .. KINACHOTAKIWA ni ushindi. Kuupata kuna kanuni na sheria zake.
Kukimbia na kuruka .. ! Si katazo kwenye hiyo professional. Mayweather kaiona kama fursa kaitumia.
Ambacho mgefanya ni kupaza sauti ifutwe na isikubaliki kwenye mchezo.
Vinginevo Mtulie .. Tusherehekee ushindi.
Pacquiao amepigwa lazima tuache ushabiki nakuwa wakweli kwa nafsi zetu. Angalia post match conference kwenye youtubemwenyewe Pacman anasema, ''my best wasn't good enough'', na anaendeleakulalamika kuwa alikuwa ameumia bega.Pacquiao amejiunga na waashabiki wakedunia nzima kulalamika kuwa Mayweather alikuwa anakimbia, but hasemi yeye alikuwaanafanya nini ulingoni? Washabiki wa pacquiao tuambieni pac,man alikuwa anafanyanini ulingoni . Meyweather is TBE, ameweza ku-dictate mchezo kama alivyofanyadhidi ya Maidana, Marques, Miguel Cotto, Ricky Hatton, Coralles nk wakati watu walitabiri atashindwa.
Watu wengine bwana hawajui ngumi kazi kulalamika tu.Eti alikuwa abakimbia kimbia hizo punches landed umeziona lakini

Yeah japo nao wakiamua kukufanyia fitina ushindwe au upokonywe ubingwa hawashindwi wana mbinu milioni moja kidogo na ni wataalamu wa kutengeneza dhuluma
Watu wengine bwana hawajui ngumi kazi kulalamika tu.Eti alikuwa abakimbia kimbia hizo punches landed umeziona lakini
Watu wengine bwana hawajui ngumi kazi kulalamika tu.Eti alikuwa abakimbia kimbia hizo punches landed umeziona lakini
Mchezo halali ni riadha pekee maana mshindi halali anaonekana wazi na watazamaji!
Mayweather ni bondia mzuri sana na anavutia anapokuwa kwenye ulingo kama ilivyokuwa kwa Muhammad Ali.
Kwa wale wasiojua ngumi......kurusha ngumi
nyingi sio ndio wingi wa point....je ngumi zako
zinafikia target zenye kukuwezesha kupata
point....??
PACMAN ni kama alitumia style ya kurusha
mangumi kama njia ya kujilinda lakini si kwa
lengo la kushambulia lakini mzee wa misifa
alikuwa anashambulia...kwa maana ya kwamba
kila ngumi yake ilikuwa ina hit the target......kwa
wale wanaojua mchezo wa ngumi teknikale
watakuwa wameshanielewa....
defence skills ya PACMAN haiko makini ndio
maana huwa anatumia muda mwingi kutupa
makonde...akiwa na malengo mawili kushambulia
huku akimfanya adui asimkaribie....
lakini pia ana
udhaifu katika kurusha ngumi za aina ya
hook....na uppercut.......anatumia muda mwingi
kurusha jab ambazo kwa bondia makini kama
Mayweather haziwezi kuwa na madhara......
kitu
kilicho mnyima ushindi PAC MAN ni kurusha
ngumi nyingi zisizo na muelekeo huku akikosa
umakini katika kuimarisha ulinzi ,hali iliyofanya
Mayweather kushambulia huku akiwa na uhakika
wa kulenga target kila apatapo
nafasi.....
kushambulia muda mwingi kwa kutumia
jab pekee kumemfanya Mayweather kuwa huru
mchezoni.....na kufanya counter attack zenye
mafanikio..........
Umesema kweli kiongozi wakati manpac akicheza ndondo ,mayweather alikuwa anacheza riadha. Mayweather kashinda riadha na si ndondi.