It's friday

Huyo ni Chabruma akifurahia baada ya kupewa pesa na membe akaandike makala za kumchafua Rais wetu wa awamu ya tano the RT HON. EDWARD NGOYAI LOWASA
 
Last edited by a moderator:
Ukute ndani ya maji kuna Croc anasubiria sijui kama anagia ya Rivasi...
 
unajipa raha baada ya kubanwa na majukumu kwa juma zima sasa ni mwendo wa kupariiiii,ila angalia kimboliko kisije katwa na samaki
 
Mzoefu kupinga mbizi huyu, hiyo ni moja ya mitindo. Inaelekea yupo na wenzake wanaoneshana ufundi
 
unajipa raha baada ya kubanwa na majukumu kwa juma zima sasa ni mwendo wa kupariiiii,ila angalia kimboliko kisije katwa na samaki
bysange hiyo inaitwa free to air
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…