tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,894
- 25,225
mkuu, hizi nyuzi zimeunganishwa na Moderator aliyeingia shift akiwa AMELEWA. pacha wa KITWANGA wapo kila mahali.Tz bana tunapenda sana siasa japo hazitupendi lowasa hadi michezoni hii nyota kali sana sijui kaitoa wap kila mahali anachomoza had hapa
rudin ktk mada wazee wa politics.