Mzalendo wa ukweli
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 559
- 149
Kwa ufupi CCM ni chama dola, lakini katika utawala CCM ni chama cha upinzani kwani kinatawala kwa kutekeleza mipango ya Chadema. Hivyo kutokana na utawala wa aina hiyo CCM haiwezi kuwa na itikadi maalumu.
Itikadi ya CCM ni Ufisadi baada ya azimo la Zanzibari. Ingekuwa ni ubepari hali ya uchumi ingebadilika.
Mkuu unauliza itikadi ya CCM hata wana CCM wenyewe hawaijui; wako kwenye confusion!
Labda tusibiri wenyewe wamo humu jf kama kina Le Mutuz, Ritz, Chama na wengine nadhani wao watakujibu kwa ufasaha ingawa kinadharia.
Lakini tunavyojua watu wengi sasa hivi hata wao wana CCM ni kwamba CCM si chama tena cha wakulima na wafanyakazi. Wakulima na wafanyakazi walikwishatupwa zamani!
Sasa hivi ni chama cha mafisadi na wala rushwa na ndio itikadi yao. Kwa ajili hiyo hata wakikuambia maneno mengi utajua tu ukweli ni upi.
Kwa ufupi CCM ni chama dola, lakini katika utawala CCM ni chama cha upinzani kwani kinatawala kwa kutekeleza mipango ya Chadema. Hivyo kutokana na utawala wa aina hiyo CCM haiwezi kuwa na itikadi maalumu.
ujamaa na kujitegemea : Ujamaa= chama cha udugu:-vita kawawa, zainabu kawawa,zamaradi kawawa, dr.husein mwinyi, balozi karume, amani abeid karume, ongezea orodha,
kujitegemea: = ufisadi,ni hulka ya ulafi, na ubinafisi = (wafanyabiashara wote walioingia ccm kwa ulafi wao wa kujitegemea)