Mkuu kivyako chadema inogopwa kama nini, yaani bila kutaja chadema kwenye mkutano wa ccm huna point, hii inamaanisha nini!! Tuendelee na mapambano ya udhalimu wa ccm kwa njia zote kuanzia mitandaoni mpaka uraiani, na wao ccm waendeleze jitihada zetu kukitangaza chadema kwenye mikutano yao kwani wanatujenga sana na hawajui kama wanajibomoa wenyewe.bravo cdm