Itigi: No Reforms No Election yapokelewa kwa kishindo

Itigi: No Reforms No Election yapokelewa kwa kishindo

Oktoba mnatiki kuendelea kuwateka, kuwapoteza na kuwaua waTanzania?

HAPANA. Hizo tiki zenu ni maangamizi ya waTanzania.

Sasa hadi mnakufuru na kutumia bendera ya nchi yetu?
Baada ya kuiteka na kuitumia CCM, sasa mnatuteka mazima mazima taifa zima?

GENGE la Samia Suluhu Hassan halitaruhusiwa kuwateka waTanzania.

Wamekwisha elewa kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom