Itigi: No Reforms No Election yapokelewa kwa kishindo

Itigi: No Reforms No Election yapokelewa kwa kishindo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,655
Reaction score
272,488
Kwanza Tunaomba Radhi kwa kuchelewa kuwaletea Taarifa hizi muhimu kwa mstakabhali wa Taifa.

Hatukuwa na Mawasiliano mazuri kutokana na mvua kubwa zinazoendelea

Lakini Wazungu wanasema hivi, Better late than Never.

Hapa ni Itigi na huu ni mkutano wa Pili baada ya ule wa Manyoni

Screenshot_2025-06-09-15-39-25-1.png
Screenshot_2025-06-09-15-39-16-1.png
Screenshot_2025-06-09-15-39-35-1.png
 
Huyu dada aliyechukua nafasi ya mrema anafanya kazi gani? Kapwaya sana.
 
Kwanza Tunaomba Radhi kwa kuchelewa kuwaletea Taarifa hizi muhimu kwa mstakabhali wa Taifa.

Hatukuwa na Mawasiliano mazuri kutokana na mvua kubwa zinazoendelea

Lakini Wazungu wanasema hivi, Better late than Never.

Hapa ni Itigi na huu ni mkutano wa Pili baada ya ule wa Manyoni

View attachment 3362174View attachment 3362175View attachment 3362176
maskini,
hapo itigi lisu mwenyewe alizomewa sembuse huyu meropokaji?
hapo wananchi wanasubiri tu ataropoka nini huyo kibaka wa siasa :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom