Itawezekana tena?

Itawezekana tena?

Junior Tata

Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
18
Reaction score
2
Mwaka jana nilichaguliwa kujiunga na chuo kmoja hapa tz, nilienda nikasajiriwa then nikaomba kuahirisha nikakubaliwa kwa mwaka 1 maanayake ilitakiwa niende 2015/2016, mpaka muda huu nmeshindwa kwenda kwa sababu ya matatzo ya kiafya na sijatoa taarifa.

Je nikienda mwakani ntakubaliwa? barua za kukubaliwa kupostipone ninazo mpaka sasa.
 
Huwezi kukubaliwa. Uliahirisha mwaka mmoja wa masomo. Utahitaji kufanya apprication upya
 
Inategemea chuo na chuo lakini kimsingi ukitoa taarifa unaruhusiwa lakini kama sijakosea itakuwa mara ya mwisho kwa vyuo vingi
 
Mwaka jana nilichaguliwa kujiunga na chuo kmoja hapa tz, nilienda nikasajiriwa then nikaomba kuahirisha nikakubaliwa kwa mwaka 1 maanayake ilitakiwa niende 2015/2016, mpaka muda huu nmeshindwa kwenda kwa sababu ya matatzo ya kiafya na sijatoa taarifa.

Je nikienda mwakani ntakubaliwa? barua za kukubaliwa kupostipone ninazo mpaka sasa.

ndugu zangu continous students ambaowengi walikosa mkopo mwaka jana kuna tetesi na uvumi unaosikika sana kuhusu upataji wa mikopo..kisheria mnahaki ya kupata mikopo kabisa ila kuna tatizo moja ambalo maloan officerwengi aswa hapa udsm husa hawapeleki taarifa zenu board ya mikopo huwa wanawatu wao wanaowafahamu wao hili limekuwa tatizo sana ndugu zangu kuna rafiki yangu ilimkuta mwaka jana kipindi cha kuappeal mkopo taarifa zake hazikupelekwa heslb kufanya hakose mkopo alipoenda pale aliambiwa data zake hazipo na alikuwa na haki ya kupata mkopo... Ushauri wangu continous nendeni heslb mkahakikishe kama taarifa zenu zipo na kama hazipo rudi haraka chuoni kwako kwa loan officer mkazie maana ni wala rushwa wakubwa... Takukuru tunaomba ingilien kati kwa hawa loan officer.bila kuwa fighter wa haya matatizo na nihaki yako kufuatilia mkopo utausikia tu kwa watu wengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom