Itambue "DPF" katika gari ya diesel

Brainze11

Senior Member
Sep 2, 2012
173
56
DPF ni nini?

DPF (DIESEL PARTICULATE FILTER) ni kifaa(filter) ambacho kimedisainiwa ili kuweza kupunguza gesi ya moshi chafu inayozalishwa kutokana na muunguzo wa diseli katika gari. Filter hii ina uwezo wa kupunguza kiwango cha moshi hadi kufikia asilimia 85%. DPF (DIESEL PARTICULATE FILTER) inapatikana katika
gari za disel peke yake.

Utendaji wa kazi wa hii DPF inatokana na sensor ambazo zipo kwenye exhaust ambazo hupeleka taarifa kwa signals kwenye engine control ili kuwezesha kutambua kama filter ina fanya kazi ipasavyo au la.
0164252cc2cb48bb047f8a2d6a983ff6.jpg

kwa mfano filter hii ikefeli katika utendaje wake wa kazi basi zile sensor hutuma taarifa moja kwa moja kwenye control box,hivyo basi control husababisha kuwasha check engine na taa ya DPF (kwa baadhi ya gari yenye taa hizo). Hii hupelekea gari kutokua na nguvu,yaani acceleration maranyingi hua haizidi RPM 2 au 3 na
gari hutoa moshi mweusi kwa wingi.
7110ac0e294add77d19b689208b7222e.jpg
f800efb205eaec76a5730279dbecca3c.jpg

Solution kwa gari ambalo limeingiza fault ya DPF ambayo ni permanent nayo ni kuondoa huo mfumo wa DPF kwenye system ya control box(DPF OFF), hii hurudisha gari katika performance yake ya mwanzo bila kusumbua. Option ya pili ni kubdili kipande cha exhaust ambacho kunakua na hiyo filter ya DPF.

NOTE: SIO GARI ZOTE ZA DIESEL ZINAKUA NA DPF, HUU MFUMO UKO KWENYE BAADHI YA MAGARI YA DIESEL HASA KUANZNIA MWAKA 2005 KUJA JUU.

**KAMA UNA MASWALI ZAIDI USISITE KUULIZA*
 
*KAMA UNA MASWALI ZAIDI USISITE KUULIZA

Mkuu... Nimefuatilia gari ya Mazda CX5 watu wengi wanasema itolewe DPF kwa njia mbili… kuifuta kwa computer na kuondoa hiyo exhaust… kwa Tz nani anafanya hii huduma? Nipo Dsm.
 
Cheki instagram kuna jamaa wanaitwa amur auto electronics. Ni vizuri upate anayejua kuprogram ecu basda ya kutoa dpf. Hao wanajitangaza wanafanya

Back
Top Bottom