M Hacker Member Joined May 21, 2021 Posts 56 Reaction score 62 Aug 4, 2025 #1 Itakuwa ndoto sana mtu unawaza eti traore angekuwa mtanzania. Mnahitaji miujiza km Gaddafi au traore wahenga wanasema nabii hakubaliki kwao wapo watu km traore tanzania ila tunawaona takataka wanatuchelewesha nchi ya ahadi.
Itakuwa ndoto sana mtu unawaza eti traore angekuwa mtanzania. Mnahitaji miujiza km Gaddafi au traore wahenga wanasema nabii hakubaliki kwao wapo watu km traore tanzania ila tunawaona takataka wanatuchelewesha nchi ya ahadi.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 58,066 Reaction score 166,602 Aug 4, 2025 #2 Kina nani wamewaona kama takataka ? Na hao watu ni kina nan?
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 38,063 Reaction score 117,626 Aug 4, 2025 #3 min -me said: Kina nani wamewaona kama takataka ? Na hao watu ni kina nan? Click to expand... Mkuu,maswali ya kumkimbiza mleta mada,hayatakiwi humu. 😀😀
min -me said: Kina nani wamewaona kama takataka ? Na hao watu ni kina nan? Click to expand... Mkuu,maswali ya kumkimbiza mleta mada,hayatakiwi humu. 😀😀
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,786 Reaction score 1,251,500 Aug 4, 2025 #4 Akina nani hao