Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
Kama raia wa kawaida itakupa picha gani kama Rais wako akiwarudisha watu ambao walishindwa kwenye kura za maoni za CCM like "kamala" na wale walioshindwa kwenye kinyang'anyiro chenyewe cha kura tulizopiga juzi kama "Masha", Je huyo atakuwa rais makini?