Kote Tz na bara ukawa wanashinda
Kitakachotokea ni kwamba ule upande walioshinda UKAWA matokeo yatageuzwa, na ushindi atapewa CCM. Wala wewe hautajua kama UKAWA walishinda, utabaki kunung'unika tu. Maisha yataendelea kama kawaida.
Kichwa cha habari Na Maelezo yake, hainyoshe sehemu umliyotabiri, bali mliuliza matokeo iwapo CCM, itashinda upande mmoja wa muungano. Na upande mwingine upinzani ukashinda.Tabiri zetu zilikuwa Sawa asee Ila tusubiri hii inshu ya Zanzibar.