Cheki vizuri qualifications zinazohitajika kwenye tangazo kama zinafanana na zako ulizojaza .......(usijiongeze tu kwamba hii mbn nafiti ni Sawa Tu na course yangu nilosoma)Hio screenshotView attachment 2116802
Kwa style hio hii system inabidi uwe na profile zaidi ya moja basi! Wanatakiwa waruhusu iwe hivyo sababu hai make sense. System inashindwaje kutambua kwamba mtu ana cheti cha form 4 hata kama ana vingine extra? Ni ujuha ama ushenzi tu wa IT managers wanaohusika na huu mfumoKaza vizuri qualifications zinazohitajika kwenye tangazo kama zinafanana na zako ulizojaza .......
mara nyingi ukijaza "related course " hua unakataa ......ndo shida ya hiyo system. ....huwa inahitaji exactly course...
Lakini pia kama Kada unayoapply wanahitaji form four na Cheti ....wewe umejaza mpaka form six na chuo huko inakataa pia....nahic unakua ume overqualify ......
Binafsi nafikiri jamaa angetufafanulia vizuri zaidi ....sababu system inakataa ikisema check "academic qualifications" ambapo ni sehemu yenye form four na form six certificates .......Kwa style hio hii system inabidi uwe na profile zaidi ya moja basi! Wanatakiwa waruhusu iwe hivyo sababu hai make sense. System inashindwaje kutambua kwamba mtu ana cheti cha form 4 hata kama ana vingine extra? Ni ujuha ama ushenzi tu wa IT managers wanaohusika na huu mfumo
Angalia kwenye vyet vya taaluma yako inayo husu kazi usika unayo omba.....Kila niki-apply ajira portal ina niambia Job application failed.