Habari zenu wana bodi,
Baada ya kufanya shughuli za ufundi wa computer mtandaoni na majumbani.
napenda kuwatangazia kuwa IT technician anapatikana.
- Kwa masuala yote ya blog and designs
- Business/Professional and Home Softwares zote
- computer maintanance
ushauri bure, fundi anaweza kuja hadi mahali ulipo, Software za watoto kwa ajili ya kujifunza Math, english, na Sayansi
anazo.
Kwa wale wenye mpango wa kujiunga na IELTS programs zipo za kukuandaa ipasavyo.
Kwa ufupi ni hayo tu. Karibuni.
Kwa mawasiliano. 0683953700
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site.
Learn more…