IT Syllabus

ellyrehema

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
1,197
Reaction score
1,023
Wadau habarini za leo. Kama kuna mdau wa jF humu ana syllabus ya IT ambayo ni official naomba anipatie, mimi nimesoma computer science na nimeanzisha chuo na course ambayo tunafundisha ni certificate in IT pamoja na computer applications. so kama kuna mtu anayo please naomba anitumie
 
Sidhani kama umeeleweka.
IT syllabus official kwa kufuata vigezo vipi? (Huo u-official wake unatokana na vigezo gani?)
 
Pamoja na kusoma computer science bado hujajua kama IT ni pana na kila mtu anafundisha viile anavyotaka wanafunzi wake wajifunze? Basi jaribu hata kugoogle introduction to computer utapata idea.
 
We mwana IT unaandika maelezo simple kama haya halafu utalajie kupata msaada, hujui kuwa IT ni field pana sana
 
We mwana IT unaandika maelezo simple kama haya halafu utalajie kupata msaada, hujui kuwa IT ni field pana sana
IT ni pana kweli lkn sikakwambia anaenda kuwafundisha wa2 wa certificate,kwa hiyo anataka kujua how deep awafundishe
 
Pamoja na kusoma computer science bado hujajua kama IT ni pana na kila mtu anafundisha viile anavyotaka wanafunzi wake wajifunze? Basi jaribu hata kugoogle introduction to computer utapata idea.

IT ni pana kwa level ya juu na ndo maana anauliza syllabus ku avoid kuwalisha wanafunzi wake wa "CHETI" mambo mengi kwa wakati mfupi e.g Maths ni Pana lkn huwezi kumfundisha dogo wa formless Intergration
 


ombi kwa swali usishangae ha ha ha :-*. unataka kufundisha cheti kwa kozi gani na chuo kitakuwa wapi
# chuo kwa maana mahala utakapotolea ujuzi huo [ neno chuo ni pana sana pia]?
 
Ujue kama hujaelewa swali ni bora ukatulia ili wengine wajibu hayo maswali.
 
Ila mkuu kunakachuo hivi ka veta nilikuwa nafundisha palikua na hard copy ya syllabus ya it. Ila kozi hiyo wamefuta nitakutazamia kama bado ipo
 
IT ni pana kweli lkn sikakwambia anaenda kuwafundisha wa2 wa certificate,kwa hiyo anataka kujua how deep awafundishe

mkuu hata certificate bado tu kuna module mbalimbali na ndo maana ukienda udsm utakuta wanafunzi wana syllabus ya certificate tofauti na syllabus ya certificate ya ifm, na ndo maana nikasema IT ni pana inategemeana na mtoa huduma ya kufundisha IT anatarget wapi kulingana na vigezo alivyochagua
 

kumbe sasa umeona jinsi ya kumjibu,,ungemwambia hivi,,,TUMIA SYLLABI YA CERTIFICATE YA UDSM AU IFM NDO NZURI
 
Ikiwa ulikuwa na nia ya dhati ya kuanzisha chuo usingeli omba kupata syllabus kwa watu,inakubidi uwe na mpago kabla ya jambo lenyewe.
 

Pole,sometimes huwa nandika "it is better to be prepared and have no job than to have a job when you are not prepared".Sasa ulichokifanya ni kizuri what you did miss,huwezi kuanza kufundisha kitu kama syllabus hauna it is a headache,do it right the first time.Sasa wakija wanafunzi sasa hivi wanataka hiyo certificate in IT utawafundisha nini?
Ushauri wangu inabidi kama wewe binafsi huwezi pay someone expert akufanyie hiyo kitu,unajua hiyo ni kazi tosha.
Kwanza inabidi "prerequisites" za hiyo course zijulikane.
Toa tenda hiyo sometimes vitu vya bure siyo vizuri sana.
 
Ninaweza kukusaidia kuandaa hio document kwa consultancy fee. Kama uko interested check me in PM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…