tuko Team members 12
Hope hii ni open project. haina siri na napendekeza discusiion zote ziwe open hapa.
- RedSilverDog
- Mtazamaji
- Papizo
- Inkoskaz
- Juakali
- smarter
- Fresh
- X-paster
- fredwash
- Chiko
- Mfamaji
- Fosha
Nawasilisha.
- Napendekeza RedSilverDog awe project leader
- wazo la tittle nayopendkeza ni online contac directory ya ofisi na taasisi muhimu
tuko Team members 12
- RedSilverDog
- Mtazamaji
- Papizo
- Inkoskaz
- Juakali
- smarter
- Fresh
- X-paster
- fredwash
- Chiko
- Mfamaji
- Fosha
Hope hii ni open project. haina siri na napendekeza discusiion zote ziwe open hapa.
- Napendekeza RedSilverDog awe project leader
- wazo la tittle nayopendkeza ni online contac directory ya ofisi na taasisi muhimu
Nawasilisha.
Idea yako nimeikubali kwa nilivyoelewa mimi, lakini pia ningeomba ufafanue zaidi ili tujua requirements na tuzichangunue vizuri.:ranger:
Naomba uniongeze niwe team member pia!
Thanks very much mkuu sasa hapa member tunaamua kujaribu kufanya nakijidunza vitu kwa vitendo can you share here if u dont mind. theriwse nitaku pmSuperman said:Mtazamaji;
Kuna similar project tunafanya ingawa tumeshaanza . . . . In case utahitaji details I can share. PM me
Idea yako nimeikubali kwa nilivyoelewa mimi, lakini pia ningeomba ufafanue zaidi ili tujua requirements na tuzichangunue vizuri.:ranger:
Mkuu hii kitu ipo online tayari. Bofya kiungo hiki Tanzania yellow page. Ukifungua utakuta kitu kama hii ambayo umeshauri tufanye.NI hivi nijust simple we based database yenye contacts za taasisi Muhimu. inaweza kuwa na details zifuatazzo
- Jina la taasisi
- category
- Anuani ya barua, email
- Number ya simu ya ofisi
- Mkoa nawilaya iliopo
- May be hata na mtaa
- Ikiwezekanahata njina la kiongoziwa taasisi hiyo
Mfano mtu akifungua hiyo kwenye serach anatafuta detail za hospitali kinondoni dar atapata one of these info
- XYZ dispensary
- health
- Po Box 123 4 email: JJJJJ@ yahoo.com
- Kinondoni , Dar essalaaam
- Mkwajuni
- Dr Mtazamaji Majaliwa
Mkuu hii kitu ipo online tayari. Bofya kiungo hiki Tanzania yellow page. Ukifungua utakuta kitu kama hii ambayo umeshauri tufanye.
Labda cha kufanya, watu wapitie hiyo TYP, na waangalie kinacho kosekana kwenye hiyo website, kisha waje na wazo nini cha kufanya kilicho bora zaidi ya hiyo TYP.
Vile vile nisiiwakatishe watu tamaa, nilicho kiona kinakosekana uko, ni sekta za kielimu, sekta za afya, kwa maana ya mahospitali na zahanati kwa ufupi kuna lack of information, ambazo sisi kama tutafanikiwa basi tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana.
Vile vile kuna hii website inatwa: Search Engine East Africa - Tafuta.net
na nyingine hii Search Tanzania | A Search Engine dedicated to Tanzania!
na Tanzania Online Gateway - a gateway to information on development issues in Tanzania
Kwa ufupi mnaweza kupitia hapa: Tanzania search engines: Tanzania tovuti hii imekusanya website zinazo endana na hii ambayo wewe umeshauri.
Mimi nashauri jina la project liwe: Tanzania Search Engine, jina la website liwe: http://www.Tanzsearch.com or .net or .org or .co.tz
Humo tutakusanya full address, location, na picha ya jengo husika.
Kwa mfano mtu akiwa anaitafuta hospitali ya Muhimbii, basi aone vitu hivi vifuatavyo:
Picha au (na) nembo ya Muhimbili hospital
Name:Contacts:
MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL,
Address:
P.O. Box 65000,
DAR ES SALAAM, TANZANIA.
Telephone: +255(22) 2151599
Telephone: +255(22) 2151369
Telephone: +255(22) 2150534Fax: +255(22) 2150534
EMail: info@mnh.or.tz
Location:
Upanga
Mkuu hii kitu ipo online tayari. Bofya kiungo hiki Tanzania yellow page. Ukifungua utakuta kitu kama hii ambayo umeshauri tufanye.
Labda cha kufanya, watu wapitie hiyo TYP, na waangalie kinacho kosekana kwenye hiyo website, kisha waje na wazo nini cha kufanya kilicho bora zaidi ya hiyo TYP........
Mkuu hii kitu ipo online tayari. Bofya kiungo hiki Tanzania yellow page.......
labda tuliokuamo kwenye project tuanze kutaja background na ujuzi.
Mimi: Web developer: PHP/MySQL
javaScript CSS
- JSP/My
- SQL
PLUS: Java
- Basics (C++, Vb.Net)
- Ruby on Rails
Tukubaliane sijui tutafanyi kazi enviroment gani?:coffee:
mimi naona hihii idea ni nzuri. Ila users ni aina mbili, business owners wale ambao watapost details zao. Na ambao wanatafuta then juu yake tutaeka kama kicomparison cha bei cha aina flani kwa biashara tofauti. Kwa mfano labda mtu anataka kujua, wapi atapata lori la kukodi na wapi itakuwa bei rahisi.
Then juu yake, kuongeza ndimu na pili pili, tunaeka rating system. Kwa mfano, watu wanarate service za bank labda NBC au CRDB.
Hii kitu serious, tunaeza kubadilisha mambo mengi. Tuko pamoja?
Mkuu mimi nakubaliana na wazo la huu mradi (project), na ndio maana nikafanya jitahada za kutafuta kwenye tovuti kitu kinacho fanana na hii. Ili tuweze kuja kufanya kitu bora zaidi.Hata kama! tutajifunza ushindani... Tutatoa kitu better. Kwa kuzingatia nyanza zote. hii dunia ya ushindani au sio?
Mimi napendekeza tufanye kitu kilicho bora zaidi ya hizo kurasa za njano (yellow page).Ok so wewe unapendekeza tufanye nini.
But kwenye hiyo yellow page huwezi kupata contact za Tambaza sekondary school, Huwezi kupata Contact za Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara,Huwezi kupata official Number Wizara ya Michezo Huwezi kupata Number za TRA . Huwezi kupata number za kiofisi RPC wa shinyanga.
ANyway this project ni yellow page but ni kama yellow page but yenye manufaa kwa watanzania wengi. Kwenye yello page kunavitu vingi watanzania wengi tunavyohitaji havipo.
Hii yetu ikikamilika na kufika mwisho basi Hata Muuza mchele au matunda wa soko la mwananyamala tutaweka nmber zakekwa wale wataoleta maombi . Dakatari au Mwalimu wa physics XYZ amabye atapenda XYZ ambaye atapenda ajulikane number zake na mhali anapopatikana pia. Hatamimi na wewe tutawezak kuingiza contac info zete
But cha muhimu tuje na wazo lolote zuri sio kwamba hii ndio imepita member tutaamua
Mkuu mimi nitasaidia kidogo kwenye html, javaScript, CSS na Photoshop na kama kutatakiwa Kusajili domain name basi tufahamishane.labda tuliokuamo kwenye project tuanze kutaja background na ujuzi.
Mimi: Web developer:
- PHP/MySQL
- JSP/MySQL
- javaScript
- CSS
PLUS:
- Java
- Basics (C++, Vb.Net)
- Ruby on Rails
Tukubaliane sijui tutafanyi kazi enviroment gani?:coffee: