sijajua ila ndo moyo wangu badala ya kusukuma damu unafanya kazi ya kupenda DAFDAF nafikiri ni ya Uholanzi kama sikosei!
DAF ni zao la ukDAF nafikiri ni ya Uholanzi kama sikosei!
VW wana mikono karibu kila kampuni ya magari hao Man na Scania mda mrefu tu VW wana hisa zao umo, Af apo kwenye list ongeza Bugatti Veyron ni entirely ya VW Das Auto.Scania ya Sweden ipo chini ya Vw...Vw wanazo truck zao ila sio Scania umechanganya vitu tuu hapo...
Mkuu naomba moyo wako pia uulekeze kwa hawa jamaa wanaitwa Volvo, ndo Loli pekee lenye Engine ya 750 Horse Power, bila kusahau ule mfumo wetu pendwa wa Dynamic Steering wanao volvo pekee
napenda DAF, saaaana
mkuu mbona kibongo bongo haya ma Volvo hayapo sana sokoni, huku naon tumekua addicted na Scania, nipe siri.View attachment 465393
Mkuu naomba moyo wako pia uulekeze kwa hawa jamaa wanaitwa Volvo, ndo Loli pekee lenye Engine ya 750 Horse Power, bila kusahau ule mfumo wetu pendwa wa Dynamic Steering wanao volvo pekee
Yanatengenezwa Eindhoven Holland mkuuDAF ni zao la uk
Volvo waliliwa timing kwenye marketing, soko lao lilijali ulaya tu, wakati scania wana dealer wao official ata wa magari ambayo ni used kote dunia bila kujali ni africa au wap. ndo vile tu mkuu.mkuu mbona kibongo bongo haya ma Volvo hayapo sana sokoni, huku naon tumekua addicted na Scania, nipe siri.
sure..Volvo waliliwa timing kwenye marketing, soko lao lilijali ulaya tu, wakati scania wana dealer wao official ata wa magari ambayo ni used kote dunia bila kujali ni africa au wap. ndo vile tu mkuu.
They own the brands, but the companies continue to work rather independentlyScania pamoja na MAN zimenunuliwa na kumilikiwa Volkwagen!
Hapana. DAF ni kampuni ya Uholanzi. DAF Trucks NV is a Dutch truck manufacturing company and a division of Paccar. Its headquarters and main plant are in Eindhoven the Netherlands.OK asante kwa sahihisho, nilifikiri ni Uholanzi