Andrew Mushi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 630
- 696
It is not proper, Muheshimiwa Rais kuwadhalilisha wananchi, wanapopata maafa na majanga ya mitetemeko ya ardhi,
It is proper! Kuwafariji na kuwawekea mipango maalum, ya kuwawezesha kurudi ktk shughuli zao za kujenga taifa.
It is proper! Michango inapochangwa kwa ajili ya kusaidia " EMERGENCY after shock relief effort", basi itumike kwa ajili hio tu, na isiwe sehemu ya budget ya serikali na miundo mbinu,
It is proper! Kutokuwasanifu waliofikwa na majanga, kwa kuwajekejeli na kuwaonyesha dharau, bali kusimama nao kwa maneno ya hekima, busara na encouragement.
It is not proper! Muheshimiwa Rais kudhalilisha wananchi waliofikiwa na ukame kutokana na kukosekana kwa mvua!
It is proper, Muheshimiwa Rais kuwekeza nguvu zako na kubeba frustratation zao na kufanya kazi na wizara husika, wataalam wa kilimo na idara nyengine, na kuwawezesha waje na programme za alternative crop products na Mazao mengine ya kilimo kama mazao yenye kuhimili ukame, kufuatia ongezeko la global warnings ulimwenguni! Think future!
It is not proper! Muheshimiwa Rais kuwadhalilisha Waheshimiwa wabunge waliopata ridhaa za wananchi wa majimbo Yao!
It is proper, kuwashirikisha na kuona jinsi gani ya kufanya kazi nao pamoja na kuwawezesha kupata ripoti mahsus za matatizo na changamoto zinazowafikia wananchi kutoka ktk majimbo Yao, after all, wao ndio EYES and EARS za wanaowawakilisha, kumbuka siasa ni Maendeleo sio uchachu wa kuonyeshana vidole na ushindani na wabunge, kumbuka Rais ni Above all that!
It isn't proper! Muheshimiwa Rais kuwa na viongozi vilaza, wadanganyifu na walahai wa vyeti, ndani ya serikali yako, imefikia hadi PhD student Muheshimiwa Rais kukata tamaa ya elimu na taaluma, na kuona vyeti sio issue, bali ujasiri na ubabe wa Maamuzi ndio umaarufu na kupata heshima. Hii pekee inaonyesha Tanzania imeathirika na siasa chafu na kukosa shughuli kwa wataalam Wetu, na kuuza taaluma zao kuingia kwenye siasa za majigambo. That's not proper, but it is proper kutenga idara za utafiti ktk nyanja mbali mbali, hususan Kilimo, uvuvi, madini, bidhaa za viwanda, nk, na kutenga budget maalum yenye msukumo wa sayansi, ukuzaji wa biashara kwa kushirikiana na wafanyabiashara na wenye viwanda kufanya hiz research za kisayansi za kukuza uzalishaji wa bidhaa bora na marketable nje na ndani ya nchi, wasomi watapata wapi kutumia taaluma zao, na hili linawezekana kuondoa sehemu kubwa za budget za mamlaka za kisiasa kama MaDCs, Baadhi ya Mameya, baadhi ya wakuu wa mikoa, na kufanya wabunge kuongezewa majukumu kwa kushirikiana karibu na wataalam wa wizara za maendeleo ya wananchi na mipango miji. Hii itasaidia sana kutupeleka ktk muono wa taaluma inalipa na sio kuwa na athari ya fikra za siasa ndio njia ya kutokea kimaisha, kama mtaalam wetu wa uvuvi Makonda, lol hii joki Tu!
It is proper! Kama unavyosema wewe ni mpenzi wa Mungu, basi kaa karibu na Mungu, vilaza, wezi wa vyeti, wawe mbali na majaribio, na tuko na wewe 100% support ya zoezi zima la uhakiki wa vyeti ktk idara na mashirika ya ummah, umeweza kufanya hivyo kupitia policy ya "uhakiki wa vyeti" kama ulivyoishauri na kuiamuru wizara yako husika, kuwatoa makazini wafanyakazi feki, basi Muheshimiwa Rais ni lazima urudi kwa Mungu, na going forward all public servants, uwazi wao ndio iwe haki ya wananchi.
It isn't proper! Muheshimiwa Rais kwa watumishi wako ngazi ya Mikoa na MaDC kuwapiga viongozi wa kata
It is proper! Uhakikishe ubabe huu wa kutumia mabavu na majigambo kustop mara moja, na uhakikishe kupitia vyombo husika wanafunguliwa mashtaka na wanapandishwa mahakamani na haki juu yao itendeke, kama inavyostahiki, Hadi sasa uvunjwaji huu wa amani umeukalia kimya, bali tunaona kudhalilishwa kwa wafanyabiashara wa ndani, wabunge na hata wakandarasi, kwani ni nani wakukemewa zaidi ya yule aliyeingia mikataba mibovu na usimamizi mbovu ndani ya mamlaka za kiserikali, tafadhali Muheshimiwa Rais, wakandarasi na wageni ni watu wa kulindwa na sio kudhalilshwa hawa ni wageni wetu, deal na watoa deal na wasimimizi wa serikali ktk miradi hii mikubwa.
It is proper! Kwa kuangalia wawekezaji wa viwanda na uchungaji wa Mazingira, hususan by products baada ya utengenezaji wa bidhaa za matumizi, na tumejipanga vipi kuzikabili challenge hizo..
It is proper! Muheshimiwa Rais, wafanyabiashara wawekewe mazingira yanayostahiki kuwawezesha kupitia employment and tax incentives policy, kuongeza kukua kwa biashara, na wewe na mamlaka yako udeal na watumishi wa ummah ktk maswala ya rushwa, kuondoa ukiritimba na ufanisi, na hili kinawezekana kupitia Technology, kuona wafanyakazi vipi wanatoa huduma zao, decision zao na ufanisi wao uwe fully traceable, reportable and awardable
It isn't proper! Kudhalilisha uhuru wa vyombo vya habari!
It is proper! Kuweka uhuru wa Wanahabari kwani wanasaidia kwa asilimia kubwa kuripoti kile ambacho tunafanya tukusikie na kukuona ktk uongozi wako, na sisi kukupatia ushauri, ijapokua kuna bad practice ya baadhi ya waandishi wa habari, lkn isiwe sababu ya kutufunga midomo yetu.
Kwa kumalizia Muheshimiwa Rais, It isn't proper, kufanya maamuzi ya papo kwa papo, kumbuka well thought ideas have better outcomes and better suit in sustaining challenges, considering all the factors in play!
Kwa mfano ziara yako ya mikoa ya kusini, ungepata wasaa ukapewa ripoti ya vijiji kama idadi ya watu, utakavyopitia na wanachangamoto gani, na jinsi gani za kuzi overcome, na jinsi gani kuzi finance, na jinsi gani serikali itaweza ku sustain gharama zake kama kutakua na project proposal, and that's proper.
Lakini nakuhakikishia Muheshimiwa Rais hospitali uliyowaahidi wanakijiji Mkoa wa kule Lindii sidhani kama itakua na mafanikio, je umefikiria vipi itakua equipped na proper tools za utendaji kazi, na vipi zitagharamika, je vipi waganga na wasaidizi wataweza kufikia ile sehemu, je kuna miradi ya bara bara na maji safi, nk nk.
Ingewezesha kujua kama ijengwe hospitali moja kubwa Kati ya kata mbili au zote, kwenye miundo mbinu iliyokaribu,
Alimradi factors ni nyingi, lkn umeenda pale kushindana na Mbunge?. And that's not Proper, Muheshimiwa Rais.
It is proper to think properly of your actions, your engagement with people, have self aware who you are talking to, its effect inside the country and internationally,
I really supported your initiatives, your ideas at the beginning but you seems to be going every where and anywhere with your ideas, I can understand your frustration and impediment of what you thinks it is right, but you can't act of your puff, you have to think hard and proper before taking any actions, you can't be a hero on your own.
Engage, think and plan, call all your ministers to task, take them out if you feel aren't performing to your expectations.
Lastly and not least engage new bloods in your
Administrations, don't recycle the old junks, it is worst of time and effort and more impediment of what you thinks need to be done.
This is my advice to you, being more revolutionary engage the opposition as key ministers or advisors onto your government, work with them, or even challenge them to come up with the better plan, adopt if necessary, let them scrutinise where there is clear mishaps,
Don't afraid to accept, what coming at you, learn the art of understanding the frustration of anybody but everybody and that's include the fine minds of not only CCM but opposition parties as well, after all, we all want the best and finest.