Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
<br />Genuinely speaking Rutashubanyuma.... nimesoma ndio najua inahusu <br />
kubaka but naomba unidadafulie before i comment for sijakupata exactly what it is unasema...
Ubakaji wa sasa hivi kwetu hapa mwingi unasababishwa na waganga na vita hizi ndogondogo, maybe tuanzie huko kwa waganga kwa kuwaelimisha watu wasiamini sana hay maushirikina ili tujikwamue na hii kadhia
<br />
<br />
ASANTE.
Genuinely speaking Rutashubanyuma.... nimesoma ndio najua inahusu
kubaka but naomba unidadafulie before i comment for sijakupata exactly what it is unasema...
Mmemsikia Prof. Maji Marefu, Mbunge wa Korogwe, juzi bungeni? Amekiri hadharni kuwa mafanikio yake kupata ubunge yalitokana na ushirikiano wa kitaaluma na waganga wenzake. Pia akawabeza wabunge wanaowadharau waganga mchana lakini ni wateja wao wakubwa wakati wa kutafuata vyeo. Niliona wengi wao kwenye Mjengo wakitoa tabasamu za kijuha (silly smiles) kwa vile alikuwa amewaanika.Mwafrika kwa ushirikina sijui kama kuna mahali tutafanikiwa kumwondoa..........................tnaabudu nguvu za giza kupita kiasi ninamfahamu afisa mmoja wa ngazi za juu sana serikalini ambaye ilibidi akunamishwe na mganga wa kienyeji ili apate cheo.........................yaani alibakwa huku akijiona.............lol
Mwafrika kwa ushirikina sijui kama kuna mahali tutafanikiwa kumwondoa..........................tnaabudu nguvu za giza kupita kiasi ninamfahamu afisa mmoja wa ngazi za juu sana serikalini ambaye ilibidi akunamishwe na mganga wa kienyeji ili apate cheo.........................yaani alibakwa huku akijiona.............lol
hii nimeipata kwenye makala moja ya majuu nimeona nisibandike kwa sababu wengi wetu hatupendi makala ndefu kwa hiyo nikaona nitoe ufupisho wake.................................inahusu mdada mmoja ambaye pamoja aliwekwa kwenye kibanio na mbakaji alipambana hadi mhujumu mazingira yule akamkata koo kabla ya kumbaka..........................kwa hiyo walichoshauri wataalamu wa hayo masuala ni kuwa ni bora angalinusuru maisha yake kwa kuvumilia hiyo dhambi iliyotendwa juu yake badala ya kusalimisha uhai wake na bado maiti yake ikabakwa pia.............................
sasa swali langu ni je hiyo ni sahihi kuwa kuna uhai hata baada ya kubakwa???????????
Jestina,
what a coincidence kati ya thread na avatar yako
Gabrielle Union ni mhanga wa kubakwa na bado alipiga moyo konde na ni bonge la muigizaji.she's my fav......