Wala usinipe pole ni kazi ninayo ipendaDoon polee.
Hheheheheheee umeongea habari ya kupindua umenikumbusha Belinda, Baba Belinda na Mama Belinda.
Mwendo wa kupinduliwa ghafla bin vuu biduuu.
yeee ning'we gete a bing'we, lekaga ibudwe e sengerema!!mgeshage ngalu ngw'enoyo... ngw'elage akutandagule chiza
MsaidieUpweke mbaya sana...........
Njoo nikusaidie wewe.Msaidie
Msaada Tu, nafanya lililo ndani ya uwezo wangu😱😱 utaweza?
Una bahati nimezeeka,enzi zangu ningekusafiriaWee mtoto wa mama Batalingaya weewee, badoo tuuu. Ngoja nikuibukie hukohuko uliko halafu iwe ama zetu....
Una bahati nimesema enzi zangu ningekusafiria
300mile? Continent to continent....Dadii ungemsahauHhahahhahahahahhaaa usifanye Dadii wangu akapata wivu bureee, acha mambo zako banaa.
Ungesafiri kama kipindi kile cha kusikiliza track za Craig David about 300 miles away ukifatilia ......
300mile? Continent to continent....Dadii ungemsahau
Upweke mbaya sana....Aahahahahahha weeeh I bet, angekuwa mwanaume mwingine tofauti na Dadii possibly ningemsahau. Dadii hapana siwezi msahau hata kidogo hata iweje, he is my life and my only.... naanzaje sasa kujisahau.
Labda aniache yeye.... seriously I bet nisingemsahau na hata sasa siwezi muacha.