It is over in Kenya for now - Kibaki is there to stay

Yaani Waingereza wanakila sababu ya kujivunia. Kanchi kadogo lakini kameitawala dunia nzima (both literally and in other ways). Hivi hii inakuwakuwaje? Ktk dunia ya leo lugha unayohitaji kujua ni Kiingereza tu na utapeta popote pale kuanzia Tirana, Albania hadi Kathmandu....kubabake walahi Waingereza.
 
Wewe acha tu, hata Jomo Kenyatta aliyamwagia masifa kibao siku anakabidhiwa uhuru wa nchi yake, soma haya maneno yake:

"We do not forget the assistance and guidance we have received through the years from people of British stock: administrators, businessmen, farmers, missionaries and many others. Our law, our system of government and many other aspects of our daily lives are founded on British principles and justice" (Jomo Kenyatta, 1963).

Ndio maana mijamaa ya Kenya hadi leo yana attachment sana na haya majamaa ya Uingereza.
 
Back
Top Bottom