Swali kubwa ni nani atakuwa wa kwanza kuwagomea polisi..atakayekuwa wa kwanza kupigwa kirungu...na wa kwanza kuuawa....... Kamwe siwezi kusema 'Never' kwa Tanzania yetu hii; lakini tukiikosa fursa hii ya Oktoba 29... 'It is going to be very messy in future kuwaondoa madarakani waovu hawa.
Wanatuonyesha vigali vya polisi kwa hofu kubwa sana, na kujitangaza mara mbilimbli kuwa maAmiri Jeshi Wakuu; yote haya ni kwa hofu ya kujuwa waTanzania wakiamua kweli wakati huu ndio mwisho wao..
Oktoba 29, ni siku ya kipekee sana kwa nchi yetu.
Kinacho ombwa kwa kila mTanzania, ni kujitokeza tu kuandamana. Hutakiwi kufanya kitu kingine chochote
Kuwepo kwako katika maandamano hayo popote pale utakapokuwa ndiyo kinga sahihi ya kuepusha maisha ya waTanzania wenzako.
Polisi watano hadi kumi hawawezi kuwakabili waTanzania elfu ishirini sehemu yoyote hapa nchini.
Unachotakiwa ni kuwepo, huhitaji kukimbizana na mtu yeyote siku hiyo. Polisi akithubutu atakimbia mwenyewe.
Kuna vikosi maalum vitakavyo shughulikia kuzuia upigaji kura vituoni na kuharibu miundo mbinu ya uchafuzi huo.
Wewe njoo tu tushirikiane kuandamana ili tuwaondoe watu waovu hawa wanaolididimiza taifa letu.
Tusipo fanya hivi wakati huu, maana yake ni kwamba tumekubali maumivu makali ndani ya utawala huu.
Ni kwamba tumekubali kufanywa watwana ndani ya nchi yetu; ni kwamba tumekubali kunadi raslimali za nchi yetu tulizo jaliwa na Mwenyezi Mungu ili zitusaidie kuinua hali ya maisha ndani ya nchi yetu Tutakuwa tumekubali kupoteza utu wetu, HAKI zetu katika mambo yote yanayo tuhusu kama waTanzania....
Tusiiachie hii nafasi adhmu ipite hivi hivi..
Tukamwambie Samia Suluhu Hassan na Genge lake, IMETOSHA.
Mungu Ibariki Tanzania.
Hamna kitu kama hicho.... Kamwe siwezi kusema 'Never' kwa Tanzania yetu hii; lakini tukiikosa fursa hii ya Oktoba 29... 'It is going to be very messy in future kuwaondoa madarakani waovu hawa.
Wanatuonyesha vigali vya polisi kwa hofu kubwa sana, na kujitangaza mara mbilimbli kuwa maAmiri Jeshi Wakuu; yote haya ni kwa hofu ya kujuwa waTanzania wakiamua kweli wakati huu ndio mwisho wao..
Oktoba 29, ni siku ya kipekee sana kwa nchi yetu.
Kinacho ombwa kwa kila mTanzania, ni kujitokeza tu kuandamana. Hutakiwi kufanya kitu kingine chochote
Kuwepo kwako katika maandamano hayo popote pale utakapokuwa ndiyo kinga sahihi ya kuepusha maisha ya waTanzania wenzako.
Polisi watano hadi kumi hawawezi kuwakabili waTanzania elfu ishirini sehemu yoyote hapa nchini.
Unachotakiwa ni kuwepo, huhitaji kukimbizana na mtu yeyote siku hiyo. Polisi akithubutu atakimbia mwenyewe.
Kuna vikosi maalum vitakavyo shughulikia kuzuia upigaji kura vituoni na kuharibu miundo mbinu ya uchafuzi huo.
Wewe njoo tu tushirikiane kuandamana ili tuwaondoe watu waovu hawa wanaolididimiza taifa letu.
Tusipo fanya hivi wakati huu, maana yake ni kwamba tumekubali maumivu makali ndani ya utawala huu.
Ni kwamba tumekubali kufanywa watwana ndani ya nchi yetu; ni kwamba tumekubali kunadi raslimali za nchi yetu tulizo jaliwa na Mwenyezi Mungu ili zitusaidie kuinua hali ya maisha ndani ya nchi yetu Tutakuwa tumekubali kupoteza utu wetu, HAKI zetu katika mambo yote yanayo tuhusu kama waTanzania....
Tusiiachie hii nafasi adhmu ipite hivi hivi..
Tukamwambie Samia Suluhu Hassan na Genge lake, IMETOSHA.
Mungu Ibariki Tanzania.
Unajuwa kwa nini? Polisi ndio wanafanya kila kitu kionekane kuwa ni mapambano; sasa waTanzania wafanyeje?Ingawa yanaitwa "maandamano" yaandaliwa kama mapambano na polisi...hapa ndipo palipo pagumu.
Kwa nini hili liwe swali kubwa; na kwa nini liwahusu waandamanaji zaidi ya 20,000 dhidi ya polisi watatno. Hao polisi hilo swali wao haliwahusu?Swali kubwa ni nani atakuwa wa kwanza kuwagomea polisi..atakayekuwa wa kwanza kupigwa kirungu...na wa kwanza kuuawa...
Na ndio maana hata wao mwisho wao utakuwa ni wa kufedhehesha.Hakuna kitu kinachonitia uchungu na hasira kama ule ushenzi wao wa kuteka na kuua raia heartlessly kama vile wanaua digidigi. Mungu awalaani wao na descendants wao wote!
Kwa kuwa maandamano ni ya nchi nzima na kila sehemu hadi vijijini, mitaani waTanzania wote washiriki.Hii kitu tunatoka, vijana wamefikia breaking point, wamechoka sana kuibiwa.
Swali kubwa ni nani atakuwa wa kwanza kuwagomea polisi..atakayekuwa wa kwanza kupigwa kirungu...na wa kwanza kuuawa...
Ingawa yanaitwa "maandamano" yaandaliwa kama mapambano na polisi...hapa ndipo palipo pagumu.
Ila kweli kama siyo sasa..basi mabadiliko yatahairishwa tena.
Hiyo "tit for ti"' unataka ifanyikie nyumbani kwako?Mapinduzi ni titi fo tati, sio ngonjera mtandaoni
Polisi ndio wanaharibu, wangeacha watu waandamane huku wakiwapa ulinzi matishio yote haya yasingekuwepo.Swali kubwa ni nani atakuwa wa kwanza kuwagomea polisi..atakayekuwa wa kwanza kupigwa kirungu...na wa kwanza kuuawa...
Ingawa yanaitwa "maandamano" yaandaliwa kama mapambano na polisi...hapa ndipo palipo pagumu.
Ila kweli kama siyo sasa..basi mabadiliko yatahairishwa tena.
Do the Maasai way, 3 days done.... Kamwe siwezi kusema 'Never' kwa Tanzania yetu hii; lakini tukiikosa fursa hii ya Oktoba 29... 'It is going to be very messy in future kuwaondoa madarakani waovu hawa.
Wanatuonyesha vigali vya polisi kwa hofu kubwa sana, na kujitangaza mara mbilimbli kuwa maAmiri Jeshi Wakuu; yote haya ni kwa hofu ya kujuwa waTanzania wakiamua kweli wakati huu ndio mwisho wao..
Oktoba 29, ni siku ya kipekee sana kwa nchi yetu.
Kinacho ombwa kwa kila mTanzania, ni kujitokeza tu kuandamana. Hutakiwi kufanya kitu kingine chochote
Kuwepo kwako katika maandamano hayo popote pale utakapokuwa ndiyo kinga sahihi ya kuepusha maisha ya waTanzania wenzako.
Polisi watano hadi kumi hawawezi kuwakabili waTanzania elfu ishirini sehemu yoyote hapa nchini.
Unachotakiwa ni kuwepo, huhitaji kukimbizana na mtu yeyote siku hiyo. Polisi akithubutu atakimbia mwenyewe.
Wewe njoo tu tushirikiane kuandamana ili tuwaondoe watu waovu hawa wanaolididimiza taifa letu.
Tusipo fanya hivi wakati huu, maana yake ni kwamba tumekubali maumivu makali ndani ya utawala huu.
Ni kwamba tumekubali kufanywa watwana ndani ya nchi yetu; ni kwamba tumekubali kunadi raslimali za nchi yetu tulizo jaliwa na Mwenyezi Mungu ili zitusaidie kuinua hali ya maisha ndani ya nchi yetu Tutakuwa tumekubali kupoteza utu wetu, HAKI zetu katika mambo yote yanayo tuhusu kama waTanzania....
Tusiiachie hii nafasi adhmu ipite hivi hivi..
Tukamwambie Samia Suluhu Hassan na Genge lake, IMETOSHA.
Mungu Ibariki Tanzania.
Ukimsoma huyu Mwenyekijiji; mstari wake huo wa kwanza lengo lake ni kutia watu hofu, uoga.Kwani wewe utakuwa umejificha wapi?
Hebu jitolee basi uwe kama Dr King kwenye maandamano yake mengi wakati wa civil rights movements
View attachment 3492983
Kwa namna CCM inavyoendesha nchi, muda wowote mambo yanaweza kulipuka. Sasa hivi serikali kwa kutumia vyombo vya dola imeamua ku-operate kama kikundi cha wahuni na kila siku ndivyo wanavyozidi kuharibu. Tarehe 29 inaweza kabisa kupita salama, lakini tayari tumeshafikia kwenye point of no return. Ufisadi na mauaji yote ambayo yameshafanyika mpaka sasa HAYATARUHUSU kabisa CCM kubadilika tena na kuwa kama zamani. Hata katiba wanayosema ''watatoa'' itakuwa mbovu kuliko hii ya sasa ili iwalinde.Swali kubwa ni nani atakuwa wa kwanza kuwagomea polisi..atakayekuwa wa kwanza kupigwa kirungu...na wa kwanza kuuawa...