Nimejiuliza mara kadhaa hivi Rais Kikwete anapokaa, anaanza kuteua mawaziri huwa anafanya nini hasa? Anachukua kalamu na karatasi, kisha anamwita Bilal na Pinda kisha anasema tuanze sasa - Wizara ya Katiba na Sheria! Anaangalia nini kwanza? Majukumu ambayo wizara hiyo inapaswa kutekeleza? Au anaangalia CVs za watu anaodhani wanaofaa? Anakuwa na shortlist? Au anawaita, anaongea nao? How the hell do they come to a conclusion that Celina Kombani is the best person for this ministry? Frankly can someone tell me if there is any process set for the President to follow when appointing ministers, if any. Au anaamua tu - huyu tumweke hapa na yule tumweke kule?