Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,019
- 142,900
2025 mambo yatakuwa hivi hivi kama yalivyo sasa.Iwe isiwe Magu, Mwinyi watatangazwa washindi tena kwa asilimia zaidi ya 90% maana chama chetu ccm ni chama dola, miaka mitano itakayoanza masaa machache kutokea sasa itakuwa michungu mno kwa watanzania kwa kifupi masaa machache kutokea sasa miaka mitano ya njaa inaanza, kama kuna ambaye anafikiri eti kuna nafuu inakuja basi panapo uhai tukutane 2025 kipindi kama hiki.
No 2025 things will be different kama Tundu Lissu atakubali matokeo na kufuata ushauri wa Mzee Mwanakijiji2025 mambo yatakuwa hivi hivi kama yalivyo sasa.
If we always do what we’ve always done, we’ll always get what we’ve always got.No 2025 things will be different kama Tundu Lissu atakubali matokeo na kufuata ushauri wa Mzee Mwanakijiji
PJPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship
Wanabodi, Miongoni mwa vitu vinavyotukwamisha sisi Watanzania kupata maendeleo ya kweli, ni kutokusikiliza ushauri, Leo Mwana JF, mwenzetu, mashuhuri na maarufu karibu kuliko wana jf wote all times, Mkuu Mzee Mwanakijiji, ametoa ushauri huu kwa Chadema, naomba msikilize Kwa faida ya...www.jamiiforums.com
Ni kweli kuna uwezekano mkubwa tu yakawa kama hivi, maana nguvu ya kukiangusha chama chetu CCM Watanzania wanataka itoke nje badala ya wao kufight. Hawataki kulipa gharama.2025 mambo yatakuwa hivi hivi kama yalivyo sasa.
💯%Ni kweli kuna uwezekano mkubwa tu yakawa kama hivi, maana nguvu ya kukiangusha chama chetu ccm watanzania wanataka itoke nje badala ya wao kufight. Hawataki kulipa gharama
💯%.Bila tume huru ccm atasumbua siku zote
Makamanda ndembendembe, siku za nyuma walikuwa wanajaza comments humu kuwa hatutakubali. Sasa hivi wamekuwa wapole, sijui nini kimewatokea wanasema "ila ccm wamejifunza"
Mkuu wako mbendembende lakini huyu Magu na ccm yetu hakika inaenda tenda mambo ya hovyo kupita ambavyo inatenda sasa kumbuka hata wale wenye ujasiri wa kukemea uovu wa ccm yetu nao watakaa kimya ataachwa mtu 1 anarun show, atakuwa anasifiwa na kuabudiwa. Yaani kuna sheria za hovyo mno zinakuja soon stay tuned.Makamanda ndembendembe, siku za nyuma walikuwa wanajaza comments humu kuwa hatutakubali. Sasa hivi wamekuwa wapole, sijui nini kimewatokea wanasema "ila ccm wamejifunza"
HOFU waliojengewa ni kidogo?.
I agree with you, and that is the scientific formula, ya scientific experiment, ukifanya experiment ile ile kwa kutumia reagents zile zile kwenye mazingira yale yale, utapata matokeo yale yale, na kama kuna anayetegemea matokeo tofauti, huyo sio mzima!,If we always do what we’ve always done, we’ll always get what we’ve always got.
Nini maana yake?
Tukiendelea kufanya chaguzi zetu namna tuzifanyazo sasa, ‘washindi’ na ‘washindwa’ wataendelea kuwa ni wale wale tu...
Mkuu wako mbendembende lakini huyu Magu na ccm yetu hakika inaenda tenda mambo ya hovyo kupita ambavyo inatenda sasa kumbuka hata wale wenye ujasiri wa kukemea uovu wa ccm yetu nao watakaa kimya ataachwa mtu 1 anarun show, atakuwa anasifiwa na kuabudiwa. Yaani kuna sheria za hovyo mno zinakuja soon stay tuned.