Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,299
- 3,966
Unaumwa nini usaidiwe mawazo kijana usije jinyonga bure.....Naugua ni mwaka wa 3 sasa yani nashindwa vumilia maumivu mkuu ukizingatia napambana na Life lakini ni kama yananikataa😢😢hosp wanasema hakuna tatizo sijui ndo kurogwa nahisi naenda kufa
It pains a lot I just can't handle it
• 😬😬😬, Atakuwa amekula mirungi huyo, siyo bure.Mtu ana life gumu alafu bado anatumia kingereza
Aache kuingilia majukumu ya israel mtoa roho• 😬😬😬, Atakuwa amekula mirungi huyo, siyo bure.
• Atakuja na thread nyingine kuwa " nimehairisha kujiua baada ya kupewa ushauri na wanaJF"
Wakati Fulani niliwahi kuwa jobless, na niliuona ule msoto sio poa kabisa. Ukweli ni kuwa maisha ni magumu mno, jikaze aisee. As long as bado unapumua, jikaze na hali hii itapita. Nothing is permanent, not even our problems.Hali si nzuri kiafya mkuu imezungukwa Hospital kwa waganga tena waganga nimeona fiksi tu wanataka nipiga hela na haya maisha ya kuunga daah nimeona kifo kileee nikasema hapa ngoja niwahi kuwaaga wana humu
wewe ni teja?Hello members good morning everyone
Ukweli ni kwamba sijui lini i really don't know when I just wanna say guys I like all of you here
Man it hurt my feelings that no one will notice when I go[emoji22][emoji22]
I got no friends here but I like Jf and it's members
[emoji16]it's funny sometimes when they comment
So nimeona niseme kwaheri kabla sijadead plus Life is hard my friends
Lemme say this
Wakati Fulani niliwahi kuwa jobless, na niliuona ule msoto sio poa kabisa. Ukweli ni kuwa maisha ni magumu mno, jikaze aisee. As long as bado unapumua, jikaze na hali hii itapita. Nothing is permanent, not even our problems.
Bon voyage 😪😥Hello members good morning everyone
Ukweli ni kwamba sijui lini i really don't know when I just wanna say guys I like all of you here
Man it hurt my feelings that no one will notice when I go[emoji22][emoji22]
I got no friends here but I like Jf and it's members
[emoji16]it's funny sometimes when they comment
So nimeona niseme kwaheri kabla sijadead plus Life is hard my friends
Lemme say this
Sa si ili kibrokeni kionyeshe ugumu wa anayoyapitia..!!Mtu ana life gumu alafu bado anatumia kingereza
unasumbuliwa na nini mkuu, ebu jaribu kufunguka kiundani unaweza kupata msaadaHello members good morning everyone
Ukweli ni kwamba sijui lini i really don't know when I just wanna say guys I like all of you here
Man it hurt my feelings that no one will notice when I go[emoji22][emoji22]
I got no friends here but I like Jf and it's members
[emoji16]it's funny sometimes when they comment
So nimeona niseme kwaheri kabla sijadead plus Life is hard my friends
Lemme say this
😂Sa si ili kibrokeni kionyeshe ugumu wa anayoyapitia..!!
Naugua ni mwaka wa 3 sasa yani nashindwa vumilia maumivu mkuu ukizingatia napambana na Life lakini ni kama yananikataa😢😢hosp wanasema hakuna tatizo sijui ndo kurogwa nahisi naenda kufa
It pains a lot I just can't handle it⁷