Unaumwa ugonjwa gani mkuuHali si nzuri kiafya mkuu imezungukwa Hospital kwa waganga tena waganga nimeona fiksi tu wanataka nipiga hela na haya maisha ya kuunga daah nimeona kifo kileee nikasema hapa ngoja niwahi kuwaaga wana humu
Maumivu sehemu gani mkuu, na hospital ulipima vipimo vipi vilivyoonyesha hakuna tatizoNaugua ni mwaka wa 3 sasa yani nashindwa vumilia maumivu mkuu ukizingatia napambana na Life lakini ni kama yananikataa😢😢hosp wanasema hakuna tatizo sijui ndo kurogwa nahisi naenda kufa
It pains a lot I just can't handle it
Amina bro🙏🏽Unaweza ukahisi umeandika kitu kidogo lakini kinaweza kubadirisha maamuzi ya mtu! Hii inaonyesha una utu! Mungu atakubariki kwa hilo!
😂😂😂😂😂 na watu tuna furahaa hakuna matataJamani maisha ni magumu pote msihisi mmerogwa hata huku hali ni hiyo hiyo tujikaze
Badilisha hospital mkuuNaugua ni mwaka wa 3 sasa yani nashindwa vumilia maumivu mkuu ukizingatia napambana na Life lakini ni kama yananikataa😢😢hosp wanasema hakuna tatizo sijui ndo kurogwa nahisi naenda kufa
It pains a lot I just can't handle it
Aisee kama ni hivyo pole sana mwanangu Mungu akuponye jaribu uende MakanisaniHali si nzuri kiafya mkuu imezungukwa Hospital kwa waganga tena waganga nimeona fiksi tu wanataka nipiga hela na haya maisha ya kuunga daah nimeona kifo kileee nikasema hapa ngoja niwahi kuwaaga wana humu
Ni kweliJamani maisha ni magumu pote msihisi mmerogwa hata huku hali ni hiyo hiyo tujikaze
Tulia we dogo, sembe nyama tamu.Hello members good morning everyone
Ukweli ni kwamba sijui lini i really don't know when I just wanna say guys I like all of you here
Man it hurt my feelings that no one will notice when I go
I got no friends here but I like Jf and it's members
it's funny sometimes when they comment
So nimeona niseme kwaheri kabla sijadead plus Life is hard my friends
Lemme say this
Kwani ni nini hasa kinakusumbua kwanini unafichaficha nyoosha maelezo watu wakuelewe unaweza shangaa unasaidiwa humu JF ni dubwasha lenye mkono mrefuNaugua ni mwaka wa 3 sasa yani nashindwa vumilia maumivu mkuu ukizingatia napambana na Life lakini ni kama yananikataa😢😢hosp wanasema hakuna tatizo sijui ndo kurogwa nahisi naenda kufa
It pains a lot I just can't handle it
...Pole Sana. Unaumwa Nini ?...Hali si nzuri kiafya mkuu imezungukwa Hospital kwa waganga tena waganga nimeona fiksi tu wanataka nipiga hela na haya maisha ya kuunga daah nimeona kifo kileee nikasema hapa ngoja niwahi kuwaaga wana humu
Mtu ana life gumu alafu bado anatumia kingereza• Andika kiswahili mkuu..
• Pole sana, kwani una ratiba ya kufa lini?? 🤒🤒
Get well soonNaugua ni mwaka wa 3 sasa yani nashindwa vumilia maumivu mkuu ukizingatia napambana na Life lakini ni kama yananikataa😢😢hosp wanasema hakuna tatizo sijui ndo kurogwa nahisi naenda kufa
It pains a lot I just can't handle it